Challenge accepted: Tokea JF ianzishwe hakuna Mwanamke mrembo kuzidi Lamomy

Gengis Khan wa Jf

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2024
Posts
1,311
Reaction score
3,344
Nilikuwa nazawa nitoke road niandamane nikafikiria hivi nikipigwa Shaba na kufa kizembe Mwanamke mrembo kama Lamomy nitamuona wapi ?

Mimi sio chawa wala sijavuta bangi I'm The Mafia boss with high IQ kwa akili zangu timamu nasema hakuna mrembo Jf kuzidi Lamomy nimetumia vigezo vingi na nimeangalia kwenye spiritual gallery mpaka kufikia kusema haya .

Naomba cocastic unisaidie kumuelezea Lamomy jinsi ninavyomkubali najuanin mtata na sio jambo rahisi kuelewa maana Warembo wakali ndivyo walivyo.

Mishale nitaanza kuichambua sifa moja Moja za mrembo wetu wa Jf Miss Lamomy

#Mafia Boss with high IQ
 
Huyo ni mshangazi, wakati wake umeisha
 
Leo kakasirika sana baada ya kuona ulinzi umeimarishwa na kashindwa kwenda kuvunja supermarkets za watu na kuiba, alikua anazungusha sketi humu kupiga mikwara kuwa atatoka akafanye vurugu za kuharibu mali za watu na kuiba ila hajatoa pua ndani baada ya kuona polisi hawacheki na nyumbu.

Pole sana nyumbu jike Lamomy
 
Tatizo Lamomy anajichubua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…