Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Yanga na vijana wa 1 zero na 4 × 1Kwa kuwa tangu kukamatwa Kwa viongozi wa CHADEMA na baadhi ya wanachama wake imeonekana kuwa CHADEMA imekuwa dhaifu. Natoa " challenge" hii Kwa watanzania wenzangu.
Kama tunaweza kukaa wiki nzima, badala ya kukijadili chama ambacho baadhi yetu wanasema kimekosa maono, basi tujadili vyama vingine tuachane na CHADEMA tunayosema imepwaya au haina mvuto.
Tujadili chama gani kingine tunachoona ni bora na kina nguvu zaidi kuliko CHADEMA?
Safari hii naona atakuja na pilau au biriyani... Mambo ya ubwabwa kaachana nayoHivi Mzee wetu Hashim Rungwe atagombea tena 2025?
Kwani si unamuona Makalla, Nchimbi, (katibu Mwenezi msaidizi Msigwa) hawalali. Kila mkutano lazima waitangaze Chadema, Lissu na Mbowe (Waipromoti). Ulishasikia wanataja Lipumba au Lungwe na vyama vingine? Wanajua wamekosea wapi na wanajitahidi kuwafunga midomo wanaosema ukweli! Ili watanganyika tuendelee kuwa na blanket kwenye sura zetu.Kwa kuwa tangu kukamatwa Kwa viongozi wa CHADEMA na baadhi ya wanachama wake imeonekana kuwa CHADEMA imekuwa dhaifu. Natoa " challenge" hii Kwa watanzania wenzangu.
Kama tunaweza kukaa wiki nzima, badala ya kukijadili chama ambacho baadhi yetu wanasema kimekosa maono, basi tujadili vyama vingine tuachane na CHADEMA tunayosema imepwaya au haina mvuto.
Tujadili chama gani kingine tunachoona ni bora na kina nguvu zaidi kuliko CHADEMA?
Kile chama kiliuzwa in 2015Kwa kuwa tangu kukamatwa Kwa viongozi wa CHADEMA na baadhi ya wanachama wake imeonekana kuwa CHADEMA imekuwa dhaifu. Natoa " challenge" hii Kwa watanzania wenzangu.
Kama tunaweza kukaa wiki nzima, badala ya kukijadili chama ambacho baadhi yetu wanasema kimekosa maono, basi tujadili vyama vingine tuachane na CHADEMA tunayosema imepwaya au haina mvuto.
Tujadili chama gani kingine tunachoona ni bora na kina nguvu zaidi kuliko CHADEMA?
CCM imeuzwa Zanzibar bado haujaamka?Kile chama kiliuzwa in 2015
Na wewe unamsikiliza mwehu kama Karlo Mwilapwa?Kwa kuwa tangu kukamatwa Kwa viongozi wa CHADEMA na baadhi ya wanachama wake imeonekana kuwa CHADEMA imekuwa dhaifu. Natoa " challenge" hii Kwa watanzania wenzangu.
Kama tunaweza kukaa wiki nzima, badala ya kukijadili chama ambacho baadhi yetu wanasema kimekosa maono, basi tujadili vyama vingine tuachane na CHADEMA tunayosema imepwaya au haina mvuto.
Tujadili chama gani kingine tunachoona ni bora na kina nguvu zaidi kuliko CHADEMA?
Kubwa Sana.Duh kumbe chadema kina nguvu kiasi hicho
Ova
Chadema ndio ipo akilini, mioyoni na midomoni mwa watanzania, hakuna chama kingine cha upinzani chenye mvuto na uhai kilichobakia, ni CDM pekee.Kwa kuwa tangu kukamatwa Kwa viongozi wa CHADEMA na baadhi ya wanachama wake imeonekana kuwa CHADEMA imekuwa dhaifu. Natoa " challenge" hii Kwa watanzania wenzangu.
Kama tunaweza kukaa wiki nzima, badala ya kukijadili chama ambacho baadhi yetu wanasema kimekosa maono, basi tujadili vyama vingine tuachane na CHADEMA tunayosema imepwaya au haina mvuto.
Tujadili chama gani kingine tunachoona ni bora na kina nguvu zaidi kuliko CHADEMA?
Kuna yule mwenyekiti wa UVCCM kaenda Azam TV leo sijui kama watu waliangaliaKubwa Sana.
CHADEMA ni kama maji usipoyanywa lazima utayaogaKwa kuwa tangu kukamatwa Kwa viongozi wa CHADEMA na baadhi ya wanachama wake imeonekana kuwa CHADEMA imekuwa dhaifu. Natoa " challenge" hii Kwa watanzania wenzangu.