Challenge: Tuache kuijadili CHADEMA, tujadili vyama vingine

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
21,470
Reaction score
40,593
Kwa kuwa tangu kukamatwa Kwa viongozi wa CHADEMA na baadhi ya wanachama wake imeonekana kuwa CHADEMA imekuwa dhaifu. Natoa " challenge" hii Kwa watanzania wenzangu.

Kama tunaweza kukaa wiki nzima, badala ya kukijadili chama ambacho baadhi yetu wanasema kimekosa maono, basi tujadili vyama vingine tuachane na CHADEMA tunayosema imepwaya au haina mvuto.

Tujadili chama gani kingine tunachoona ni bora na kina nguvu zaidi kuliko CHADEMA?
 
Yanga na vijana wa 1 zero na 4 × 1
 
Chadema Chadema Chadema people's people's people's power power power
 
Kwa kuwa tangu kukamatwa Kwa viongozi wa CHADEMA na baadhi ya wanachama wake imeonekana kuwa CHADEMA imekuwa dhaifu. Natoa " challenge" hii Kwa watanzania wenzangu.

Kama tunaweza kukaa wiki nzima, badala ya kukijadili chama ambacho baadhi yetu wanasema kimekosa maono, basi tujadili vyama vingine tuachane na CHADEMA tunayosema imepwaya au haina mvuto.

Tujadili chama gani kingine tunachoona ni bora na kina nguvu zaidi kuliko CHADEMA?
Kwani si unamuona Makalla, Nchimbi, (katibu Mwenezi msaidizi Msigwa) hawalali. Kila mkutano lazima waitangaze Chadema, Lissu na Mbowe (Waipromoti). Ulishasikia wanataja Lipumba au Lungwe na vyama vingine? Wanajua wamekosea wapi na wanajitahidi kuwafunga midomo wanaosema ukweli! Ili watanganyika tuendelee kuwa na blanket kwenye sura zetu.
 
Kwa kuwa tangu kukamatwa Kwa viongozi wa CHADEMA na baadhi ya wanachama wake imeonekana kuwa CHADEMA imekuwa dhaifu. Natoa " challenge" hii Kwa watanzania wenzangu.

Kama tunaweza kukaa wiki nzima, badala ya kukijadili chama ambacho baadhi yetu wanasema kimekosa maono, basi tujadili vyama vingine tuachane na CHADEMA tunayosema imepwaya au haina mvuto.

Tujadili chama gani kingine tunachoona ni bora na kina nguvu zaidi kuliko CHADEMA?
Kile chama kiliuzwa in 2015
 
Na wewe unamsikiliza mwehu kama Karlo Mwilapwa?
 
Kwa kuwa tangu kukamatwa Kwa viongozi wa CHADEMA na baadhi ya wanachama wake imeonekana kuwa CHADEMA imekuwa dhaifu. Natoa " challenge" hii Kwa watanzania wenzangu.

Kama tunaweza kukaa wiki nzima, badala ya kukijadili chama ambacho baadhi yetu wanasema kimekosa maono, basi tujadili vyama vingine tuachane na CHADEMA tunayosema imepwaya au haina mvuto.

Tujadili chama gani kingine tunachoona ni bora na kina nguvu zaidi kuliko CHADEMA?
Chadema ndio ipo akilini, mioyoni na midomoni mwa watanzania, hakuna chama kingine cha upinzani chenye mvuto na uhai kilichobakia, ni CDM pekee.
 
Katika maisha kuna 'major competitor' na 'minor competitor'. Nyakati zote tunatumia nguvu kubwa kupambana na 'major competitor'. Ukifanikiwa kumkabili huyo hao wengine wanapotea automatically.
Note: SIJATAJA MTU.
 
Kwa kuwa tangu kukamatwa Kwa viongozi wa CHADEMA na baadhi ya wanachama wake imeonekana kuwa CHADEMA imekuwa dhaifu. Natoa " challenge" hii Kwa watanzania wenzangu.

Kama tunaweza kukaa wiki nzima, badala ya kukijadili chama ambacho baadhi yetu wanasema kimekosa maono, basi tujadili vyama vingine tuachane na CHADEMA tunayosema imepwaya au haina mvuto.

Tujadili chama gani kingine tunachoona ni bora na kina nguvu zaidi kuliko CHADEMA?
CHADEMA ni kama maji usipoyanywa lazima utayaoga
 
1723558546290.png
 
Back
Top Bottom