shukran kwa taarifa endelea kutujuza mkuu
Mmmh! Nurdin leo kawa forward? Hongera Nudin, hongera stars! Gangamala ukifunga la tatu unakuwa umefunga "hatitriki".
Kwa kuwa amefunga magoli mawili, tumkubali tu. Ila hii fwd ya Stars itafutiwe dawa, mie nafikiri Poulsen awarudishe kina mau mkami, makumbi, lunyamila, mogella na Tino. Najua wazee lakini ujuzi auzeeki! lol!Timu yetu inakosa goal poacher, kazi kubwa amekuwa akifanya Ngassa ila umaliziaji unakuwa bomu. Huyo Nurdin kuna goli kakosa YEYE NA NYAVU.....Sad indeed!
Kwa kuwa amefunga magoli mawili, tumkubali tu. Ila hii fwd ya Stars itafutiwe dawa, mie nafikiri Poulsen awarudishe kina mau mkami, makumbi, lunyamila, mogella na Tino. Najua wazee lakini ujuzi auzeeki! lol!
Ebwanaeeee, kitu kitwana suleiman, mchunga bakari...ben luogaKwa kuwa amefunga magoli mawili, tumkubali tu. Ila hii fwd ya Stars itafutiwe dawa, mie nafikiri Poulsen awarudishe kina mau mkami, makumbi, lunyamila, mogella na Tino. Najua wazee lakini ujuzi auzeeki! lol!