Challenge ya 2011; matches na results

Challenge ya 2011; matches na results

Dk ya 73 bado bila bila - Rwanda wanashambulia sana na kama Zanzibar wakipoteza umakini watafungwa muda wowote!

Zanzibar wamekosa nafasi ya wazi kabisa:redfaces: (Hamis alibaki na goli wazi akapiga nje)!
 
Zanzibar wamekoswa koswa - Keeper ametumia juu zake binafsi kuokoa mpira wa rebound
 
Dakika ya 80 milango bado migumu - Uwanja umefurika mashabiki kama fainal match
 
Wakaazi wa Bunju wanaanza kuondoka - dalili ya kukubali matokeo

Wakati huo huo Rwanda wanafanya mabadiliko - "Midfield" ya Zanzibar inapwaya sana
 
hello! jf nilikuwa mapolini naomba kufahamishwa hatma ya stars plz
 
nnafurahi sana nimeangalia threads nyingi zimekuwa sticky zote za mbali na nchi yetu ila hili linalotuhusu letu wapi?

kwa kweli mtu chake ni msemo usiomuhusu mtanzania
 
yaani kuna nchi zinacheza soka safi bado mtu anasema hakuna mpira huku Afrika, huo ni UPAMBAFU TU!
 
wadau wenye update mtujuze mambo yaliendaje game la kwanza
 
game la kili stars na burundi litakuwa limeanza, any update???
 
Duh, ile na click 'send msg'...Nurdin Bakari kapiga bao la kuongoza..
 
Nurdin Bakari anatunyanyua waTZ mara ya pili pale...2-0 Dk 75
 
Back
Top Bottom