Challenge ya 2011; matches na results

Challenge ya 2011; matches na results

Eti TBC1 wanasema Tanzania Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
hivi tanzania tuna waandishi wa habari za michezo kama hawa wa super sport?
 
Bingwa Tanganyika
mchezaji bora?
fair play?
mfungaji bora cheche
 
ha ha haaaa yaani somalia ijapokuwa wana mavita huko kwao wamefanikiwa kupata FAIR PLAY TROPHY
 
Nsajigwa mchezaji bora wa mashindano

kipa bora ni juma kaseja
 
Hongera Kaseja maana ulisema Maximo ataenda na wewe utabaki. Sasa yametimia. Pili tunashukuru Mungu mzee wa nuksi hakuwa uwanjani. Tatu hongera sana Tanganyika
 
kaseja amefungwa goli moja tu kwenye michuano hii ukitoa ya penati
 
Huyu babu naona kawafundisha Kilimanjaro kucheza very good counter attacks, kama wangekuwa na Goalgettter kama vile Inzaghi, ingekuwa poa sana. Halafu hawa watangazaji wa supersport wanasema na hata kwenye score board wameandika Tanzania, lakini hii iliyocheza sio Tanzania!
 
uganda wamesha chukua chao na Ivory coast naona nao wana chukua chao
 
Ajabu ni best striker vilevile (pamoja na ushindi kocha awe anawaita kwenye timu wafungaji tulio nao.. Mgossi, Tegeta etc.)
sijui kwanini Tegete amekuwa haitwi ila Mgosi msimu ulio pita ameshuka sana
 
Back
Top Bottom