Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
Wifi nae kapotea sana siku hizi, sijui utasaidiwa na nani lol... Afu kumbe sijakwambia biashara ya madera nimeiacha eeh?...
Hmmmm....hahahaaaa JF ni msitu na jalala. Kuna kila aina ya wanyama na takataka (read: tungo, hadithi - za kweli na za uongo).
Wakati mwingine unasoma tu na kuyaacha hapo hapo maana ukifikiri tu hata kidogo unaanza kuona vitu ambavyo haviingii akilini kabisa.
Lol lol.....we sio mzima! Humu ndani kuna vituko sana. Hus hii habari ina ukweli au umekaa tu ukafikiria kuwa haya mambo yanaweza kutokea?au kuna moja kati hayo limekukumba?hebu kuwa serious basi maana humu ndani masihara mengiiii. Mtu anaweza kuandika kitu hapa tukaamini kumbe anacheza na vichwa vyetu. Kama ni kweli itaniuma sana kukukosa humu ndani,ww ni mmoja wa watu nnaowapenda.
but na hao watu wakisema their side of stories....tunaweza kubaki mdomo wazi
mfano huyo kibabu
inaweza kuwa na Husninyo alimjaza sifa za uwongo.....
ohhh niko kama Beyonce only more sexy......kibabu cha watu kikauza mashamba huko
kwenda kumuona Husninyo....akakuta labda the younger version ya bi kidude lol
mimi humu siondoki aisee
we endelea tu kunipenda
nipo saana
ingawa najua kuna drama nyiingi...
usisahau nilisema JF IS NEVER BORING...
i knew what i meant.....
hahahahaaaa daah
Lol.....The boss umeanza,nashukuru kwa uwepo wako. Naomba tu ujaribu kum convince Hus asiondoke,ili list yangu isipungukiwe na niwapendao.
Kiukweli i never thought kuna vitu kama hivyo kwenye PM......The boss hebu funguka kidogo basi,hizi drama zipo kweli nyuma ya pazia???
hizi ni robo tu ya drama za humu lol
halafu we uliposema unanipenda sijaelewa
ndo unataka nikuharibie usichana wako au vipi?lol
Lol.....The boss umeanza,nashukuru kwa uwepo wako. Naomba tu ujaribu kum convince Hus asiondoke,ili list yangu isipungukiwe na niwapendao.
Kiukweli i never thought kuna vitu kama hivyo kwenye PM......The boss hebu funguka kidogo basi,hizi drama zipo kweli nyuma ya pazia???
Lol.....The boss umeanza,nashukuru kwa uwepo wako. Naomba tu ujaribu kum convince Hus asiondoke,ili list yangu isipungukiwe na niwapendao.
Kiukweli i never thought kuna vitu kama hivyo kwenye PM......
Huwezi jua labda hao Ma-MOD nao wanahusika...Tusiandikie mate na wino upo This is JF where dare to talk openly, Husninyo apewe ruhusa ya kuwataja wahusika wote hadharani....na kisha hatua za kuwaondoa hapa zichukuliwe mara moja.
huyo ambaye humwelewi kama ni mwanaume au mwanamke,bora umuepuke...atakuwa bwabwa huyo mtaje.:shock: