Challenges nilizoziface ndani ya jf tangu nimejoin mpaka sasa

Challenges nilizoziface ndani ya jf tangu nimejoin mpaka sasa

Status
Not open for further replies.
Hmmmm....hahahaaaa JF ni msitu na jalala. Kuna kila aina ya wanyama na takataka (read: tungo, hadithi - za kweli na za uongo).

Wakati mwingine unasoma tu na kuyaacha hapo hapo maana ukifikiri tu hata kidogo unaanza kuona vitu ambavyo haviingii akilini kabisa.

Very true NN,yani hizi tungo za humu kuna wakati zinagoma kuingia akilini mwishoe huwa nakasirika. Nabaki kusoma jukwaa langu la presha inapanda,presha inashuka(siasa) nacheka na kununa mwenyewe....lol
 
Husninyo pole sana ila dont run away, face challenges utakuwa jasiri zaidi
 
Lol lol.....we sio mzima! Humu ndani kuna vituko sana. Hus hii habari ina ukweli au umekaa tu ukafikiria kuwa haya mambo yanaweza kutokea?au kuna moja kati hayo limekukumba?hebu kuwa serious basi maana humu ndani masihara mengiiii. Mtu anaweza kuandika kitu hapa tukaamini kumbe anacheza na vichwa vyetu. Kama ni kweli itaniuma sana kukukosa humu ndani,ww ni mmoja wa watu nnaowapenda.

mimi humu siondoki aisee
we endelea tu kunipenda
nipo saana
ingawa najua kuna drama nyiingi...
usisahau nilisema JF IS NEVER BORING...
i knew what i meant.....
 
but na hao watu wakisema their side of stories....tunaweza kubaki mdomo wazi
mfano huyo kibabu
inaweza kuwa na Husninyo alimjaza sifa za uwongo.....

ohhh niko kama Beyonce only more sexy......kibabu cha watu kikauza mashamba huko
kwenda kumuona Husninyo....akakuta labda the younger version ya bi kidude lol

hahahahaaaa daah
 
mimi humu siondoki aisee
we endelea tu kunipenda
nipo saana
ingawa najua kuna drama nyiingi...
usisahau nilisema JF IS NEVER BORING...
i knew what i meant.....

Lol.....The boss umeanza,nashukuru kwa uwepo wako. Naomba tu ujaribu kum convince Hus asiondoke,ili list yangu isipungukiwe na niwapendao.
Kiukweli i never thought kuna vitu kama hivyo kwenye PM......The boss hebu funguka kidogo basi,hizi drama zipo kweli nyuma ya pazia???
 
Pole sana bidada,bt nexttym kua makini usijerudia makosa ulofanya mwanzo!just try to make new one,makosa yapo mengi sana!all the best!:wave:
 
hizi ni robo tu ya drama za humu lol
halafu we uliposema unanipenda sijaelewa
ndo unataka nikuharibie usichana wako au vipi?lol
 
hizi ni robo tu ya drama za humu lol
halafu we uliposema unanipenda sijaelewa
ndo unataka nikuharibie usichana wako au vipi?lol

Hivi unaweza kumuharibia bi kidude usichana wake?! Halahalaaaa
Halafu kwenye ile comment nilikua namaanisha nnavyompenda Hus ila kwenye list yangu upo,hakija haribika kitu.
 
Lol.....The boss umeanza,nashukuru kwa uwepo wako. Naomba tu ujaribu kum convince Hus asiondoke,ili list yangu isipungukiwe na niwapendao.
Kiukweli i never thought kuna vitu kama hivyo kwenye PM......The boss hebu funguka kidogo basi,hizi drama zipo kweli nyuma ya pazia???

Kama ulikuwa huamini, basi amini kuanzia leo kuwa behind the scene kuna mambo mengi sana yanafanyika mazuri na mabaya vikiwemo vioja vyote tuvishuhudiavyo mitaani!! Kuna watu wakianikwa humu utastaajabu nakwambia......
 
Lol.....The boss umeanza,nashukuru kwa uwepo wako. Naomba tu ujaribu kum convince Hus asiondoke,ili list yangu isipungukiwe na niwapendao.
Kiukweli i never thought kuna vitu kama hivyo kwenye PM......

Hata mimi nilikuwa sijawahi kufikiria but then again sisi wengine huwa tunaitwa wakorofi kwa hiyo uswahiba swahiba wa kwenye vi PM huwa hatuna. I guess kuna watu huwa wanaogopa kututumia PM.

Ila najua kuna watu huwa wanatumiana sana PMs. Tatizo ni kwamba watu huwa hawana siri kihivyo, Na watu wasibweteke na kudhani kuwa hizo PM ni "private" kihivyo.
 
huyo ambaye humwelewi kama ni mwanaume au mwanamke,bora umuepuke...atakuwa bwabwa huyo mtaje.:shock:
 
...Tusiandikie mate na wino upo This is JF where dare to talk openly, Husninyo apewe ruhusa ya kuwataja wahusika wote hadharani....na kisha hatua za kuwaondoa hapa zichukuliwe mara moja.
Huwezi jua labda hao Ma-MOD nao wanahusika
 
Parapanda imelia kwako dada hapa jf eeh! Kwa heri ya kuonana husinyo tutaonana facebook.

parapanda imeilia parapanda, nae dada yetuuu atakuwa amekwisha tangulia, kwenda kuchat facebook.x2
 
huyo ambaye humwelewi kama ni mwanaume au mwanamke,bora umuepuke...atakuwa bwabwa huyo mtaje.:shock:

jestina kongosho si ndio huwa watu wanachanganya jinsia yake hapa jf'? Wengine husema ni mwanaume ,wengine husema ni mwanamke. Au ndo yeye?
 
Tangulia husn tangulia,
Bishanga Abashaija anafuata nyuma,
pembeni namwona TF anachekelea,
Anakumbuka kasheshe ya sadaka,
Bishanga sikubali,
Nami namfuata husn,
Iweje Lizzy apigwe ban?
Na bishanga aangalie tu?
Husn tusikubali,
Kweli tuondoke zetu,
TF akitaka atufuate,
Akitaka aache.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom