Challenges nilizoziface ndani ya jf tangu nimejoin mpaka sasa

Status
Not open for further replies.
Sema astaghafirulah Lizzy. MMU ukifungwa naenda wapi?
Wengine kama sio MMU na chit chat hakuna JF for us tena
Ni kila member kujifunza kupitia haya ya Husninyo tuu

Mwali we 'challenges' hazijakukuta ehhhh?! Utaiona MMU chungu ka' Hus. Bora tu watupumzishe kwa lazima kama sio hiari. Kwanzia kesho nakusanya signature za kusupport hii kitu.
 
Last edited by a moderator:
May be.........Kwani ng'ombe huzeeka maini?

Ila ya Babu DC siyo kuzeeka tu, ila yalishachakaa!!

Babu DC!!
Hazeeki ndio maana kibabu hakikugundulika kwamba ni kibabu mpaka kilipoonekana kwa macho. Kweli hicho kibabu ni mwisho wa habari.

Wewe pumzika tu babu DC.....mkiwa wengi kesi zitazidi.
 
Mwali we 'challenges' hazijakukuta ehhhh?! Utaiona MMU chungu ka' Hus. Bora tu watupumzishe kwa lazima kama sio hiari. Kwanzia kesho nakusanya signature za kusupport hii kitu.
Mi sijakutana na hizo challenge alizo taja cousin hapo juu
Ila nilisutwa kwa PM na mke wa mtu eti najitongozesha
mtu mwenyewe hata simjui, sijawahi muona wala kumsikia
Basi nikaona isiwe tabu, nikabadili settings zangu kua tight

sasa nahishi kama kipepeo: light and free swaying smoothly
wengine nimeshare nao details zangu, but never met anyone.
Sio kwamba sitaki, sijasoma yeyote anae nihamasisha kumuona
Ila nikiwapata sioni kwa nini nisikutane nao (sina expectation)
 
Unasema kweli Mwali?
 
Unasema kweli Mwali?
Kweli kuhusu nini zaidi mkuu wangu?
hapo kuna sentensi tatu, zote kweli
  1. alie jidai kua mke wa mtu alinisuta
  2. mi huyo mtu simjui, kabisaaaaaaaa
  3. toka hapo nimebana settings zangu
 
Kweli kuhusu nini zaidi mkuu wangu?
hapo kuna sentensi tatu, zote kweli
  1. alie jidai kua mke wa mtu alinisuta
  2. mi huyo mtu simjui, kabisaaaaaaaa
  3. toka hapo nimebana settings zangu

Hayo ya kusutwa kwa PM na mke wa mtu kwa kujitongozesha kwa mumewe wakati huyo mtu humjui, hujawahi kumuona wala kumsikia....
 
All true mkuu. Ni changamoto pia, ila mimi sikuchagua kuondoka
kwanza sijui kama kweli ni mwanamke, sikui kama kweli kaolewa
kama kweli kaolewa nina uhakika amenifananisha na mngine
Kwa sababu hizo hapo nikaona hakuna haja ya kuchukulia too serious
 
Mi sijakutana na hizo challenge alizo taja cousin hapo juu
Ila nilisutwa kwa PM na mke wa mtu eti najitongozesha
mtu mwenyewe hata simjui, sijawahi muona wala kumsikia
Basi nikaona isiwe tabu, nikabadili settings zangu kua tight

sasa nahishi kama kipepeo: light and free swaying smoothly
wengine nimeshare nao details zangu, but never met anyone.
Sio kwamba sitaki, sijasoma yeyote anae nihamasisha kumuona
Ila nikiwapata sioni kwa nini nisikutane nao (sina expectation)

Loh. . . kweli JF kichaka. Kumbe madongo tunayopigwa live live wengine wanafikishiwa PM?!

Ila watu wana vituko humu jamani. . .acha tu JF iwepo watu tuendelee kuburudika.
 
teh teh teh, mimi nasoma na kucheka tu.
JF is never boring aisee.. wewe Mwali acha masihara!
 
Last edited by a moderator:
Let's go for a commercial break so we can pay some bills....

Kuna mdada kuanzia hapo kwenye mark ya 1:16 - 1:26 kanifurahisha sana. Miondoko yake (ingawa kiuono chake kigumu kidogo) na jinsi anavyosikilizia utamu wa muziki...daaah.

Hahahaha, wewe ulipewa za usoni?
Kumbe huyu wangu ni fake basi. lol
 
We nawe unatumalizia wengine bundle . . .siufurahi mwenyewe!!!
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha, wewe ulipewa za usoni?
Kumbe huyu wangu ni fake basi. lol

Hahahah not personally ila kuna mtu nadhani alianzisha thread akasema kuhusu wadada wa humu kujitongozesha kwa waume zao. Mi naogopa tindikali tu. . .
 
teh teh teh, mimi nasoma na kucheka tu.
JF is never boring aisee.. wewe Mwali acha masihara!
Erotica, we bado mgeni mamaa. subiri utajionea
Na hivi umekuja kwa kasi, utapokea PM za kila aina

Hahahah not personally ila kuna mtu nadhani alianzisha thread akasema kuhusu wadada wa humu kujitongozesha kwa waume zao. Mi naogopa tindikali tu. . .

Ukitongoza makosa, ukitongozwa makosa. usipotongozwa makosa
Mi yote kheri tu. Kama kutongozwa ni dhambi basi nitaenda motoni
 
Hahahah not personally ila kuna mtu nadhani alianzisha thread akasema kuhusu wadada wa humu kujitongozesha kwa waume zao. Mi naogopa tindikali tu. . .

Yule alikua anajishaua tu! teh teh.. angekua wake si angetaja? Ila tindikali soo..
 
Mwali....

Hahaha kama ni kosa mbona wengi wakosaji!?Sioni kwanini bango lifungiwe watongozwaji(ambao hawajaomba) badala ya watongozaji ambao wamekaa chini mpaka kupanga sera. Mengine ni kuyaacha tu yapite..... Ukisema utilie sana mambo ya humu maanani waweza patwa kichaa siku si zako aisee.

Bora kuchukulia mambo kirahisi, vicheko vipatikane baasi!!
 
Last edited by a moderator:
Erotica, we bado mgeni mamaa. subiri utajionea
Na hivi umekuja kwa kasi, utapokea PM za kila ainai

teh teh teh.. Mwali mie mbona mwenyeji! Basi tu nimekuja kivingine.
 
Last edited by a moderator:
Yule alikua anajishaua tu! teh teh.. angekua wake si angetaja? Ila tindikali soo..

Hahahaha...hapo sasa. Kwanza ingekuwa kweli huyo mume ndo angekuwa wa kuongea nae, maana kama ni thread ataanzisha ngapi?!

Hahahhaha. . .tindikali ni noma aisee. Hata kama ni utani bado inatisha!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom