Challenges nilizoziface ndani ya jf tangu nimejoin mpaka sasa

Challenges nilizoziface ndani ya jf tangu nimejoin mpaka sasa

Status
Not open for further replies.
Aiseeee. .
Ngoja na mimi nishuke na challenge zinazonihusu, japo siagi.

A.Nshatishiwa tindikali.
B.Nshatokewa na VIbabu.
C.Eti nna maadui.
D.Nshaolewa na kuachika mara kadhaa.
E.Nshamwalika mtu UngaLTD nikajuuuuuta kujipendekeza.
F.Nshakopa kwa ID tofauti mpaka leo nadaiwa.
. . . . . . .

Hiyo ni trailer. . .bado mkanda.

Haya pole Husninyo. . . .wasalimu wote uendako.

Lizzy Bashaija kanywa sumu juu yako kwa ajili ya kukumiss. teh teh teh.
Karibu shosti, tulikumiss.
 
Hahaa yale yale wa wabongo?
Hawajibi mtu hapa.

Mkuu bado hujakanusha kama wewe ndiye huyo kibabu.
Ukikanusha tuu tunabaki na Asprin.

Mkuu,

Nadhanie maelezo yangu hapa chini (post No. 43) yalitosha kuthibitisha kama mimi ni kibabu au la...

By the way, mimi ni Babu DC (soma signature hapo chini) na siyo kibabu cha Husninyo!!

Hus,

Pole sana mdogo wangu,

Kusema kweli...tena ukweli wa moyoni, siku yangu imeharibika ghafla....

Binafsi sijawahi kupata challenge yoyote hapa JF na pia napata PM zisizozid 2 kwa week.....labda kwa sababu ni kibabu cha 1947 au ...??????

Pumzika salama Hus.....

Babu DC!!!
 
Dah. . . hiyo ni challenge G...hehhhe

Asante mwaya . .salama hapa?!

teh teh teh, kweli naona ni G.
hapa habari ndio hio majonzi tu yametujaa mwenzetu anatuaga.
yote hio ikiwa madhara ya Mapenzi, Mahusiano na Urafiki.
 
Babu oyeeeeeee!😛oa

Lakini wasikusumbue babu yangu, Huyu anaetajwa wamesema ni kijana
kwa maana ya kwamba ukiona ID utadhani ni kijana kama husninyo
Ukija kumuona live ndio unaona ni babu, wewe mstaarabu babu, ulisema mapema.

Mwali,

Husninyo kaongelea kibabu na wala siyo Babu....Babu ni neno la heshima sana kiasi kwamba hiliwezi kuingizwa kwenye mambo ya kitoto namna hii....Take note please!!

Babu DC!!
 
teh teh teh, kweli naona ni G.
hapa habari ndio hio majonzi tu yametujaa mwenzetu anatuaga.
yote hio ikiwa madhara ya Mapenzi, Mahusiano na Urafiki.
Inatisha aisee. .
Sijui tuombe hili jukwaa lifungwe kwa muda watu wapumzike hizi challenge......?!Vibabu na vibibi navyo vijipange upya, mambo ya kuleteana mvi kwenye vilabu vya mziki sio ishu.
 
Kibabu's game is tight!

Duuuhhh,

Sasa hapa kaka unataka kusemaje?

Haki ya nani vibabu vimebwambwa live....

Heri ya akina Babu ambao wanalea na kutunza wajukuu zao ili wafike huko waendako salama!!

Babu DC!! (Kumwita Babu DC kibabu ni name calling and zero tolerance will be applied!!)
 
Mwali,

Husninyo kaongelea kibabu na wala siyo Babu....Babu ni neno la heshima sana kiasi kwamba hiliwezi kuingizwa kwenye mambo ya kitoto namna hii....Take note please!!

Babu DC!!
Sorrryyyyy Babu yangu, sikumaanisha ni wewe
Kibabu kitajulikana tu, ngoja tukitege kwa PM
Halafu kikisha julikana nakuja kukisema kwa fumbo
Na huyo jike-dume nae tutamjua sasa hivi tu, lol
 
Duuuhhh,

Sasa hapa kaka unataka kusemaje?

Haki ya nani vibabu vimebwambwa live....

Heri ya akina Babu ambao wanalea na kutunza wajukuu zao ili wafike huko waendako salama!!

Babu DC!! (Kumwita Babu DC kibabu ni name calling and zero tolerance will be applied!!)

Babu DC mbona una wasiwasi sana?!Au unahusika kwa namna moja ama nyingine?!
 
Ghafla bin vuu nimetokea kum-admire 'Kibabu'.

Kwake naona kuna mawili matatu ya kujifunza kuhusiana na mbinu na mikakati ya kuwatokea mashoree.

Kwa sababu kilichomuangusha 'Kibabu' ni umri tu. Sasa hebu piga picha mtu wa rika langu mwenye skills kama za 'Kibabu'....si itakuwa balaa?

Nataka sana kumjua huyu 'Kibabu' na kama ikiwezekana nim-befriend kabisa anichukue kwenye wing yake.
 
Inatisha aisee. .
Sijui tuombe hili jukwaa lifungwe kwa muda watu wapumzike hizi challenge......?!Vibabu na vibibi navyo vijipange upya, mambo ya kuleteana mvi kwenye vilabu vya mziki sio ishu.
Sema astaghafirulah Lizzy. MMU ukifungwa naenda wapi?
Wengine kama sio MMU na chit chat hakuna JF for us tena
Ni kila member kujifunza kupitia haya ya Husninyo tuu
 
Last edited by a moderator:
Sorrryyyyy Babu yangu, sikumaanisha ni wewe
Kibabu kitajulikana tu, ngoja tukitege kwa PM
Halafu kikisha julikana nakuja kukisema kwa fumbo
Na huyo jike-dume nae tutamjua sasa hivi tu, lol

Kweli Mwali?

I wish ningekuwa nimejaribu bahati yangu!!

Babu DC!!
 
Babu DC mbona una wasiwasi sana?!Au unahusika kwa namna moja ama nyingine?!

May be.........Kwani ng'ombe huzeeka maini?

Ila ya Babu DC siyo kuzeeka tu, ila yalishachakaa!!

Babu DC!!
 
Ghafla bin vuu nimetokea kum-admire 'Kibabu'.

Kwake naona kuna mawili matatu ya kujifunza kuhusiana na mbinu na mikakati ya kuwatokea mashoree.

Kwa sababu kilichomuangusha 'Kibabu' ni umri tu. Sasa hebu piga picha mtu wa rika langu mwenye skills kama za 'Kibabu'....si itakuwa balaa?

Nataka sana kumjua huyu 'Kibabu' na kama ikiwezekana nim-befriend kabisa anichukue kwenye wing yake.

Bro NN,

Sasa utampata wapi huyo kibabu wakati Husninyo kafanya roho mbaya kutowataji?

Imekula kwako kaka, kama huo ndio ulikuwa mpango wako.

Halafu mbona umepotea hivyo? Au ulikuwa unatumia ID ya mtuhumiwa wa kesi ya Hus??

Babu DC!!
 
Ghafla bin vuu nimetokea kum-admire 'Kibabu'.

Kwake naona kuna mawili matatu ya kujifunza kuhusiana na mbinu na mikakati ya kuwatokea mashoree.

Kwa sababu kilichomuangusha 'Kibabu' ni umri tu. Sasa hebu piga picha mtu wa rika langu mwenye skills kama za 'Kibabu'....si itakuwa balaa?

Nataka sana kumjua huyu 'Kibabu' na kama ikiwezekana nim-befriend kabisa anichukue kwenye wing yake.
Kuna mmoja nina mashaka nae sana...
Nikithibitisha nitakutonya, usijali.
ana tabia ya kuchakachua chit chat
company yake ni ya vijana kweli
But for some reasons he sounds "third age"...
 
Mwali, Nangoja PM yako, au EMT ndio kakutisha?
 
Kuna mmoja nina mashaka nae sana...
Nikithibitisha nitakutonya, usijali.
ana tabia ya kuchakachua chit chat
company yake ni ya vijana kweli
But for some reasons he sounds "third age"...

Wewe Mwali sasa unataka kumwingiza ndugu yangu NN mkenge....

Haya bwana, yangu macho!!
 
Mwali, Nangoja PM yako, au EMT ndio kakutisha?
Nilitaka kukutumia kweli ila nikaona niache
kumbe ulicho taka ni kumuumiza roho Ivuga
Mi sinaga tabia ya kuumizana, coz sitaki kuumia
Sasa ngoja nijifunze kupitia njia zingine tu.
ɐdɐႡ ɹoʇɐɹәuәƃ uʍop әp!sdn ɐʇɐdәɯ!u
 
C. Challenge
Hii ilihusu rafiki yangu niliyekutana nae humu, alikuwa nirafiki mzuri ila sahivi sipo nae tena. Tulikuwa tukisalimiana kwa pm na kusharemawili matatu. Huyu rafiki amepotea ghafla JF, sijui kama amekufa au lah maanamwaka unakatika sasa. Hii inanihuzunisha sana.

I hear and feel you... Sad unachukua likizo ila sometimes inabidi kutokana na majukumu..., been there, hata sometimes unashindwa kuaga sababu unajua utashindwa kuondoka.., lakini deep down unajua rohoni kuna siku utarudi na kukutana na wapendwa..

Kumbuka "A good friend Never Dies.., hata akiondoka kimwili Forever will remain in the Heart.." Am Sure your friend is still around just majukumu and soon or later atarudi and hopefully siku moja kukuona na kukusalimia..

You are and will always be missed.., Hope to see you one day in person... You are a wonderful person and everyone will be happy to have you as a friend.

Long Live Hus...

Truly Great Friends are Hard to Find, Difficult to Leave and Impossible to Forget..

I won't say Kwaheri as I hope to see you.... I will just say See you Later...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom