Erotica
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 2,513
- 1,735
Hahahaha...hapo sasa. Kwanza ingekuwa kweli huyo mume ndo angekuwa wa kuongea nae, maana kama ni thread ataanzisha ngapi?!
Hahahhaha. . .tindikali ni noma aisee. Hata kama ni utani bado inatisha!!!
Wewe mtu kakujia pm anakutongoza, huyo mkewe kajuaje kama sio umbeya?
au huyo mke ni mod kama Eliza wa Tegeta? teh teh the.
Ukimwagiwa tindikali jua mchezo ndio umeishia hapo! Sura haiuzi tena!