Erotica
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 2,513
- 1,735
Aiseeee. .
Ngoja na mimi nishuke na challenge zinazonihusu, japo siagi.
A.Nshatishiwa tindikali.
B.Nshatokewa na VIbabu.
C.Eti nna maadui.
D.Nshaolewa na kuachika mara kadhaa.
E.Nshamwalika mtu UngaLTD nikajuuuuuta kujipendekeza.
F.Nshakopa kwa ID tofauti mpaka leo nadaiwa.
. . . . . . .
Hiyo ni trailer. . .bado mkanda.
Haya pole Husninyo. . . .wasalimu wote uendako.
Lizzy Bashaija kanywa sumu juu yako kwa ajili ya kukumiss. teh teh teh.
Karibu shosti, tulikumiss.