Sema astaghafirulah Lizzy. MMU ukifungwa naenda wapi?
Wengine kama sio MMU na chit chat hakuna JF for us tena
Ni kila member kujifunza kupitia haya ya Husninyo tuu
Hazeeki ndio maana kibabu hakikugundulika kwamba ni kibabu mpaka kilipoonekana kwa macho. Kweli hicho kibabu ni mwisho wa habari.May be.........Kwani ng'ombe huzeeka maini?
Ila ya Babu DC siyo kuzeeka tu, ila yalishachakaa!!
Babu DC!!
Mi sijakutana na hizo challenge alizo taja cousin hapo juuMwali we 'challenges' hazijakukuta ehhhh?! Utaiona MMU chungu ka' Hus. Bora tu watupumzishe kwa lazima kama sio hiari. Kwanzia kesho nakusanya signature za kusupport hii kitu.
Ila nilisutwa kwa PM na mke wa mtu eti najitongozesha
mtu mwenyewe hata simjui, sijawahi muona wala kumsikia
Basi nikaona isiwe tabu, nikabadili settings zangu kua tight
Kweli kuhusu nini zaidi mkuu wangu?Unasema kweli Mwali?
Kweli kuhusu nini zaidi mkuu wangu?
hapo kuna sentensi tatu, zote kweli
- alie jidai kua mke wa mtu alinisuta
- mi huyo mtu simjui, kabisaaaaaaaa
- toka hapo nimebana settings zangu
All true mkuu. Ni changamoto pia, ila mimi sikuchagua kuondokaHayo ya kusutwa kwa PM na mke wa mtu kwa kujitongozesha kwa mumewe wakati huyo mtu humjui, hujawahi kumuona wala kumsikia....
Mi sijakutana na hizo challenge alizo taja cousin hapo juu
Ila nilisutwa kwa PM na mke wa mtu eti najitongozesha
mtu mwenyewe hata simjui, sijawahi muona wala kumsikia
Basi nikaona isiwe tabu, nikabadili settings zangu kua tight
sasa nahishi kama kipepeo: light and free swaying smoothly
wengine nimeshare nao details zangu, but never met anyone.
Sio kwamba sitaki, sijasoma yeyote anae nihamasisha kumuona
Ila nikiwapata sioni kwa nini nisikutane nao (sina expectation)
Hahahaha, wewe ulipewa za usoni?Loh. . . kweli JF kichaka. Kumbe madongo tunayopigwa live live wengine wanafikishiwa PM?!
Ila watu wana vituko humu jamani. . .acha tu JF iwepo watu tuendelee kuburudika.
We nawe unatumalizia wengine bundle . . .siufurahi mwenyewe!!!Let's go for a commercial break so we can pay some bills....
Kuna mdada kuanzia hapo kwenye mark ya 1:16 - 1:26 kanifurahisha sana. Miondoko yake (ingawa kiuono chake kigumu kidogo) na jinsi anavyosikilizia utamu wa muziki...daaah.
Hahahaha, wewe ulipewa za usoni?
Kumbe huyu wangu ni fake basi. lol
We nawe unatumalizia wengine bundle . . .siufurahi mwenyewe!!!
Do you think you can give her a run for her money?
Erotica, we bado mgeni mamaa. subiri utajioneateh teh teh, mimi nasoma na kucheka tu.
JF is never boring aisee.. wewe Mwali acha masihara!
Hahahah not personally ila kuna mtu nadhani alianzisha thread akasema kuhusu wadada wa humu kujitongozesha kwa waume zao. Mi naogopa tindikali tu. . .
Hahahah not personally ila kuna mtu nadhani alianzisha thread akasema kuhusu wadada wa humu kujitongozesha kwa waume zao. Mi naogopa tindikali tu. . .
Yule alikua anajishaua tu! teh teh.. angekua wake si angetaja? Ila tindikali soo..