Challenges nilizoziface ndani ya jf tangu nimejoin mpaka sasa

Status
Not open for further replies.
Hahahaha...hapo sasa. Kwanza ingekuwa kweli huyo mume ndo angekuwa wa kuongea nae, maana kama ni thread ataanzisha ngapi?!

Hahahhaha. . .tindikali ni noma aisee. Hata kama ni utani bado inatisha!!!


Wewe mtu kakujia pm anakutongoza, huyo mkewe kajuaje kama sio umbeya?
au huyo mke ni mod kama Eliza wa Tegeta? teh teh the.
Ukimwagiwa tindikali jua mchezo ndio umeishia hapo! Sura haiuzi tena!
 
Wewe mtu kakujia pm anakutongoza, huyo mkewe kajuaje kama sio umbeya?
au huyo mke ni mod kama Eliza wa Tegeta? teh teh the.
Ukimwagiwa tindikali jua mchezo ndio umeishia hapo! Sura haiuzi tena!
Hahahahah...ndo uchoke na vituko vya JF. Au labda hua wanafuma pc zikiwa on na JF imejaa walawala basi wanachungulia.lolzz


Kheeeee....sindio hapo sasa. Kisa cha kunitisha namna hiyo mtoto wa watu?!Utadhani wao hawana reception zao wazifanyie ukarabati kama inahitajika.
 
Afu we BAK mbona umekomaa wanaume wenzio tuadhirike? Mod atakayetoa hiyo ruksa ntambadilisha jinsia. Laaleki!


Waache waanikwe hadharani banaa πŸ™‚πŸ™‚....Jitu linakopa pesa halafu halitaki kurudisha lazima liumbuliwe hadharani, kutongoza haina neno lakini njemba inarudi hapa kwa ID ya kike haileti picha nzuri kabisa ana lake jambo hadi kuamua kurudi na ID nyingine na kutumia gender tofauti. Hawa wakianikwa hadharani basi vibabu vitashika adabu kuacha kufukuzia wajukuu zao πŸ™‚πŸ™‚...Husninyo njoo bana uanike kila kitu hadharani umeshakula ng'ombe mzima mkia uliobakisha hautakushinda lazima uvishikishe adabu vijibabu.

Vaislay

 
Last edited by a moderator:


Mie hata sichoki! Naburudika tu kwenda mbele teh teh teh,
tutabanana hapa hapa hamna kuondoka, full maraha kujipatia!
hao wala wala wasonge mbele huko kwa wala wala wenzao!
 
Ukiona hivo ufaham ya kwamba huenda changamoto zimezidi...


Mwali wala sio changamoto, mie mtu ninaejibishana nae za uso sikimbii.
seuz wa key bod? Ni ile tu ya make over kuja na sura mpya? vipi umeipenda?
 


Mkulu Abdulhalim nakubaliana nawe kabisa kwamba kosa kubwa hapa ni la huyu aliyekopa na kuingia mitini na pesa za watu na pia huyu ambaye ameingia na ID nyingine ambayo ameamua kutumia na gender tofauti kwa maoni yangu ana lake jambo, vinginevyo sioni kwa nini njemba ijiandikishe hapa kama mdada.... labda ni shoga. Kama MODS wataruhusu kuanikwa hadharani especially hawa wawili basi wapewe nafasi ya kujitetea kisha uamuzi unaostahili dhidi yao kuchukuliwa kama wataonekana na hatia na hii labda itasaidia kupunguza matukio kama haya siku za usoni.
 
Ila hiyo changamoto yako....I'm still shaking my head.
hahahahaha, amini usiamini ila ni kweli mkuu. kwa nini nitunge story?
JF ina kila kitu. mi mwenyewe nilisoma mara mbili kuhakikisha naelewa...


Mwali wala sio changamoto, mie mtu ninaejibishana nae za uso sikimbii.
seuz wa key bod? Ni ile tu ya make over kuja na sura mpya? vipi umeipenda?
Hii ID nimeipenda sana! sijui ulikua unasubiri nini muda wote huu. lol
 
mi mwenyewe nilisoma mara mbili kuhakikisha naelewa...
Yani natamani ningeiona hiyo PM. . .I can not imagine unafungua PM mara 'paaaaah' unakutana na bonge la onyo. Kaaazi kweli kweli.
 


BAK Nikopeshe pesa, sina hata pesa ya kula. Please! teh teh teh
 
Reactions: BAK
kamanda BAK umeenda wapi tena? Njoo tupige kampeni ya kutaja mjina. Hahaha

...Mkuu Shabhan nilienda kuwajibika kwenye kazi za watu zinazoniwezesha kujidai mtaani πŸ™‚πŸ™‚
 
Last edited by a moderator:
BAK Nikopeshe pesa, sina hata pesa ya kula. Please! teh teh teh


Hahahahahah LOL! huwa unalipa wewe au utaingia mitini kisha kushuka na ID tofauti na kujifanya ni njemba...Halafu mkopo wangu huwa nacharge na interest plus penalty for late payment πŸ™‚πŸ™‚...unataka kiasi gani?

 
Last edited by a moderator:
Yani natamani ningeiona hiyo PM. . .I can not imagine unafungua PM mara 'paaaaah' unakutana na bonge la onyo. Kaaazi kweli kweli.
Hhahahahaha, Kama ulikuwepo mpendwa wangu.
Nilisoma mara mbili, nikaangalia na avatar yake
then nikatikisa kichwa, nikabadili settings za PM
Halafu nikaingia zangu chit chat kuchangia thread:bored:
 
Hahahahahah LOL! huwa unalipa wewe au utaingia mitini kisha kushuka na ID tofauti na kujifanya ni njemba...Halafu mkopo wangu huwa nacharge na interest plus penalty for late payment πŸ™‚πŸ™‚...unataka kiasi gani?


teh teh teh, mimi mlipaji mzuri sabb mfanya biashara Mzuri. Nataka unipe Laki 5 tu
vigezo na masharti kuzingatiwa. Interest italipwa in kind and barter trade.
In kind itakua kukutoa out, barter trade itakua kubadilishana namba za simu.
Laki tano nalipa Cash bada ya kukutoa out.
 
teh teh teh, kila kitu na wakati wake. Na huu ndio wenyewe!
Kweli umeingia wakati muafaka Erotica
Mwali ndio niko somoni hapa najifunza
Kila ukirusha thread mi naandika tu. lol
 
Last edited by a moderator:
Kweli umeingia wakati muafaka Erotica
Mwali ndio niko somoni hapa najifunza
Kila ukirusha thread mi naandika tu. lol


teh teh teh, thread ya kesho naorodhesha wanaumwe wote wa jf ninaotamani
kutoka nao. Sio kwa ajili ya sex, basi tu kuwapa challenges teh teh teh
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…