Challenges nilizoziface ndani ya jf tangu nimejoin mpaka sasa

Status
Not open for further replies.
teh teh teh, thread ya kesho naorodhesha wanaumwe wote wa jf ninaotamani
kutoka nao. Sio kwa ajili ya sex, basi tu kuwapa challenges teh teh teh
Hahahaha, patiently waiting dear, ila tu usije ukamtaja fulani please :Cry:
hata kama mi nimeshindwa kumwambia, ukimwambia wewe roho itaniuma
halafu nitakuanzishia thread la kulalamika kua unajitongozesha kwake. lol
 
Best King'asti we jitangaze tu 🙂🙂 usije kulia lia kijibabu kilichokuzidi umri mara nne kikikupigia speed, kingine kikakupiga bomu la mkopo kisha kikaingia mitini bila kulipa hata senti moja LOL!

Hahaha! After jk's doomed speech at least someone is making my day! Hebu kutana na mie mwaya, unajua mie ndo halle berry wa huku kitaa, ama salma hayek, wamjua?
 
Hahahaha, patiently waiting dear, ila tu usije ukamtaja fulani please :Cry:
hata kama mi nimeshindwa kumwambia, ukimwambia wewe roho itaniuma
halafu nitakuanzishia thread la kulalamika kua unajitongozesha kwake. lol

teh teh teh, mimi ukiniambia fulani nitajuaje na navutiwa na watu kumi kidogo?
wewe kuepusha zari nitajie ni nani ili kama ananivutia nikuombe ruhusa ya kumtaja. I don't bite.
 
teh teh teh, thread ya kesho naorodhesha wanaumwe wote wa jf ninaotamani
kutoka nao. Sio kwa ajili ya sex, basi tu kuwapa challenges teh teh teh

Erotica ukimtaja nnaemzimia nakumwagia tindikali Au nakutumia PM kama alotumiwa Mwali...lolz.
 
Last edited by a moderator:
Mhhhhh! haya nipe bank account yako na baada ya dkk chache tu itakuwa imenona 🙂🙂...ila kunitoa out ujue kabisa uwanja wa fisi siendi 🙂🙂

I am not Expensive and I ain't that cheap either BAK. teh teh teh

A/C Yangu 100098JK34511J9000 Hebu harakisha, ngoja nitoke hapa nikajipange.
 
Reactions: BAK
Erotica ukimtaja nnaemzimia nakumwagia tindikali Au nakutumia PM kama alotumiwa Mwali...lolz.

Na wewe umeanza za Mwali? mnanitisha alafu hamjati ni akina nani?
ndio mana mnaibiwa teh teh teh, tangazeni property zenu watu tusiguse!
 
teh teh teh, mimi ukiniambia fulani nitajuaje na navutiwa na watu kumi kidogo?
wewe kuepusha zari nitajie ni nani ili kama ananivutia nikuombe ruhusa ya kumtaja. I don't bite.
Sasa nimeshindwa kumwambia mwenyewe ndio nikwambie wewe?
Lizzy nae kisha piga mkwala. ukiwataja tu, tunarusha thread
Ukiniuliza kwa nini sijamwambia hadi sasa nibu ni simple:

Haya ndugu zangu, tuongee baadae tena, naangusha majeshi.
 
Last edited by a moderator:
I am not Expensive and I ain't that cheap either BAK. teh teh teh

A/C Yangu 100098JK34511J9000 Hebu harakisha, ngoja nitoke hapa nikajipange.

...high maintenance babe eeh!! Check your bank account please! 🙂🙂

Vaislay
 
Last edited by a moderator:
Sasa nimeshindwa kumwambia mwenyewe ndio nikwambie wewe?
Lizzy nae kisha piga mkwala. ukiwataja tu, tunarusha thread
Ukiniuliza kwa nini sijamwambia hadi sasa nibu ni simple:
Haya ndugu zangu, tuongee baadae tena, naangusha majeshi.

Unaona aibu? Nitume mimi, ukisikia kuwadi wa kike ndio mimi! teh teh teh
 
...high maintenance babe eeh!! Check your bank account please! 🙂🙂

Of coz high maintanaince. Si uliona jana viwezesha urembo nilivo orodhesha pale?
teh teh teh. BAK you are great, my Bank accout is flowing! Did you really have to add a bit more?
 
Reactions: BAK
Mwali tutamchangia. Mi mwenyewe ndo kama vile tena.

Erotica. . .
Nakuona ona. . .embu naomba urudie hiyo list tafadhali. . .huyo nanii mtoe. Alafu wa Mwali mbona mi namjua?! Amesimama kweli kweli.
 
Last edited by a moderator:
Great idea, Friday it is! You should know you are on the list thou..
I knew it was time to go to bed
naona Erotica has just confirmed
Ngoja nipotee haraka... :A S 103::brushteeth::sleep:
 
Unaona aibu? Nitume mimi, ukisikia kuwadi wa kike ndio mimi! teh teh teh
Mi siwezi kupitia kwa kuwadi wakati nimejaliwa akili na mdomo
Kama unataka kumtaja mtaje basi, na mimi nitasema kivyangu
Mwenye kisu kikali ajilie nyama. Atakae kosa arushe thread

Mwali tutamchangia. Mi mwenyewe ndo kama vile tena.

Erotica. . .
Nakuona ona. . .embu naomba urudie hiyo list tafadhali. . .huyo nanii mtoe. Alafu wa Mwali mbona mi namjua?! Amesimama kweli kweli.
Lizzy, usinione hivi, mwenzio nina makengeza.
Yakielekea kushoto jua naangalia kulia. lolest
Sasa jamani mbona mna nogesha hii thread?
Kila nikitaka kutoka naona kapost kazuri. lol
 
Haya tutoke pamoja Mwali...waache hawa watatu wawekane kwenye list na kukopeshana..kesi zitaongelewa muda ukifika!!!
 
Mwali tutamchangia. Mi mwenyewe ndo kama vile tena.

Erotica. . .
Nakuona ona. . .embu naomba urudie hiyo list tafadhali. . .huyo nanii mtoe. Alafu wa Mwali mbona mi namjua?! Amesimama kweli kweli.

teh teh teh, Mwali is shy, i think she is still brand new kunako. nitonye wa Mwali ni nani?
 
Last edited by a moderator:
I knew it was time to go to bed
naona Erotica has just confirmed
Ngoja nipotee haraka... :A S 103::brushteeth::sleep:

teh teh teh is your man Nyani Ngabu?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…