Mwali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 7,012
- 5,612
Hahahaha, patiently waiting dear, ila tu usije ukamtaja fulani please :Cry:teh teh teh, thread ya kesho naorodhesha wanaumwe wote wa jf ninaotamani
kutoka nao. Sio kwa ajili ya sex, basi tu kuwapa challenges teh teh teh
hata kama mi nimeshindwa kumwambia, ukimwambia wewe roho itaniuma
halafu nitakuanzishia thread la kulalamika kua unajitongozesha kwake. lol