Challenges nilizoziface ndani ya jf tangu nimejoin mpaka sasa

Status
Not open for further replies.

SALAM ZAO!:A S kiss:
 
Oooh kumbe! Sasa uliposema unangojea jf family watasemaje, waliosema kabla yako umewanyanyapaa aisee. Haya bana, tunaweza kutapeliana?
kizungu sijui.... ila nadhani JF ni familia yenye watu zaidi ya 75,000
 
SORRY APO KWENYE RED ULIKUA UNA MAANA GANI...
MAANA WENGINE UKU BADO WANAFUNZI tunapendaga kusikia hili neno likitajwa hadharani...
 
Tatizo nimepewa promotion na ofisi kuubwa hamna allowances bana! Nimeingia chaka shurti nikugeuze kijiwe. Tuonane wapi?
hehehe huyu ndio King'asti bana, kibarua cha usoldier kishaota mbawa sasa anataka kunimalizia mtaji wangu wa bodaboda,
 
Last edited by a moderator:


Mkuu hiyo ni moja ya faida............ kupunguza stress, na marafiki wa ukewli kabisa wako MMU mkuu

sawa.. mkuu!! STRESS ndio! ..... ila hapo kwenye RED sidhani.. hadi mtoa mada kaamua kutupia huu uzi sababu ya hapo kwenye RED
 
SORRY APO KWENYE RED ULIKUA UNA MAANA GANI...
MAANA WENGINE UKU BADO WANAFUNZI tunapendaga kusikia hili neno likitajwa hadharani...

anafikiria kujiunga na kidato cha tano so anahitaji ban la maisha..
 
could be a heart break my friend, sometimes watu wanakua na too much expectations

kuna mshkaji mmoja tulionana, akasema aisee, mimi nilijua utakua bonge la mtu umepiga nondo kichizi.... LOL, nikamwambia kwa upole tu kwamba hizo nondo na joni woka wapi na wapi??
 
Reactions: EMT
Kule Siasa kuzuri, hakuna mtu anabother na maPM; dawa nyingine ni kubase kule; ingawa nako kuna mapressure ya Ufisadi!

Labda ndio maana jamaa alikuwa anaponda MMU kwenye ile thread?
 
Tatizo nimepewa promotion na ofisi kuubwa hamna allowances bana! Nimeingia chaka shurti nikugeuze kijiwe. Tuonane wapi?
We toa venue tu na si unajua kwa mila za watanzania sku ya kwanza garama analipia mwanamke? ningelipia mimi lakini itakuwa ni kuenda kinyume na mila za kabila letu. Tukikutana ya pili apo ndio Lonado Di Caprio wa bongo nafanya kufuru. Ushawahi kutema mate yakalewesha sisimizi na wadudu wengine wewe?
 




sawa.. mkuu!! STRESS ndio! ..... ila hapo kwenye RED sidhani.. hadi mtoa mada kaamua kutupia huu uzi sababu ya hapo kwenye RED

JF has over 70,000 members, huwezi kuchukua kesi moja ukageneralize asilani, unless kama una agenda nyingine

Hujui na si lazima kupata details on how many people have benefotted from JF network of friends, labda Max aje akupe shule one on one!!!

I AM COUNTING MY BLESSINGS (BEING AN MMU MEMBER)

Business, family, na kila kitu waweza pata JF inategemea lengo lako nini kuwa humu
 
Kubana kitu gani,nyie ndo mnawasumbua dada zetu humu,bora amechapa lapa,ila usikonde babu @Aspirin amesanuka anzisha chimbo lingine!

Uzuri nna list ya wajukuu kibao. Ngoja niangalie cha kufanya na Kipipi.
 


mawazo yangu yana gonga hapo hapo. Nothing else.
Wadada nao sometimes wamezidi kuamini mno watu, unakuta dada mmoja
anawasiliana na midume hata wa 5 hapa hapa anawachanganya. Wanategemea nini kama sio kuumizwa?
Arifu na mimi nilikua nawaza hilo hilo, kumbe hujapiga nondo? Hahaha
 
Mi nadhani kwa memba wa kike ni bora mkablock PM maana najua ni usumbufu wakati mwingine!

Sidhani kama itakuwa solution to the root cause.
Wale wanaotuma PM kwa kila JF member anayeonekana ni mwanamke ndio inabidi waache.
 

sawa nimekuelewa....
 

Husninyo mbona mara nyingi huwa sikueleagi dada. nakiri kuwa mimi ndio ulinikopesha ila pesa yako si ulisema nimpe klorokwini naomba umtafute haraka sana yule jamaa inawezekana kakuloga ili usahau.
 
Last edited by a moderator:
pwenti tupu bro... kachanganya, halafu kachanganywa.... kimeumana!!
 

Pole sana dada.
 
Asante sana kwa kushare! Sikujua kama Jf na facebook ni two sides of the same coin! Kumbe behind people's IDs kuna mengi enh??
BTW namshukuru Mungu sijampa mtu yoyote contacts zangu na kamwe sitatoa..

Kama nikishida lotto kati ya watu wa JF ambao ningewagemea kidogo ni wewe? Bado hutanipa namba?
 
cheka kisukari.jf ina mambo.trust me,hizo challenge zimewakuta wengi tu.ila nashukuru sijawahi kukutana na mtu humu,na sitotaka kukutana na mtu humu.ni bora kubadilishana mawazo kwa maandishi tu,na si zaidi ya hapo,maana unaweza kutapeliwa na hujui mtu umtafute wapi.ila nashukuru nimejuana na mtu 1 tu humu,i see him as a brother,nikiwa na shida namuelezea shida yangu,ananishauri kama kaka.najua utaisoma hii.thank you brother.jambo jengine,nina amini kuna watu na heshima zao humu,na kuna watu wengine wana malengo mabaya kwa wenzao.nyie wenye malengo mabaya,mshindwe na mlegee.utapeli wenu uwe huko huko nje.pole husniyo.kuishi ni kujifunza
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…