Challenges nilizoziface ndani ya jf tangu nimejoin mpaka sasa

Challenges nilizoziface ndani ya jf tangu nimejoin mpaka sasa

Status
Not open for further replies.
Nilishawahi kuambiwa "Watu wote JF wananigwaya" .....kwa hiyo thread yako lazima iuze :smile-big:

Mie kukugwaya sio challenge kwangu bali ni excitement.
Labda pia nikufungulie thread ya excitements ninazopata toka kwako?
I am sure kwa hizo excitements I will be bringing others over.
 
semeni tu ukweli,kama mmeshavuana nguo na hamkupenda mnavyoviona.......mmeamua kujivua gambazzzzzz....mie sijaona sababu zaidi ya hio lol.....:shock:,aisee huyo aliyekopa akaingia mitini kaniacha hoi kumbe mpo humu kupiga madili?..........inabidi ibvisible aweke tangazo.....HAPA STORI TU, KULA KWENU lol

pole Husninyo ila usiondoke,watu wa online ni sawa na hao unaokutana nao mitaani,kama si mwangalifu na wao watakuliza tu.....i think topic yako imekuonyesha mwenzetu ulikuwa hapa sio kuposti tu bali hunting pia for someone/a man which is not a bad thing...ila mie nakushauri huko uliko usijifungie peke yako.....jichanganye na majirani...jenga marafiki kibao wa company....hautofeel urgent uwe na mtu....hivyo maisha yako online yatakuwa complete....upweke ndio unaosukuma watu waaamini strangers...
 
Dah! Nimesoma comments zote ila sitoweza kujibu moja moja.
Kuna mliosema nalia lia ili nionewe huruma, sio kweli maana sioni nionewe huruma ya nini wakati maamuzi nimeshayafanya!. Humu tunajifunza kupitia kwa watu. Ningeweza kuondoka kimya kimya ila nisingependa kuondoka bila kuwaaga marafiki mkajiuliza kama nimekufa au lah (kuna rafiki yangu nae ametokomea na amenipa mashaka kwa muda mrefu).
Najua wengine mtakuwa mmejifunza mengi hapo, na wale wanaohisi ni habari ya kutunga wanakosea.
Sijaja kumlaumu yoyote isipokuwa nilipenda kushare nanyi yaliyonitokea (kama kuna aliyekwazika anisamehe). Kuhusu kuwataja sitoweza maana kiustaarabu sio vizuri na hata sheria inakataza.
 
Mie kukugwaya sio challenge kwangu bali ni excitement.
Labda pia nikufungulie thread ya excitements ninazopata toka kwako?
I am sure I will be bringing others over.

Kwa ajili ya kujali bandwidth wewe fungua ya "Free style" ......ili hiyo hiyo itumike kueleza challenges na excitements.

Unapiga ndege wawili kwa jiwe moja

Tutamuomba klorokwini atoe hukumu kwa yale mambo yatakayoangukia kwenye greay area :dance:
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT
Dah! Nimesoma comments zote ila sitoweza kujibu moja moja.
Kuna mliosema nalia lia ili nionewe huruma, sio kweli maana sioni nionewe huruma ya nini wakati maamuzi nimeshayafanya!. Humu tunajifunza kupitia kwa watu. Ningeweza kuondoka kimya kimya ila nisingependa kuondoka bila kuwaaga marafiki mkajiuliza kama nimekufa au lah (kuna rafiki yangu nae ametokomea na amenipa mashaka kwa muda mrefu).
Najua wengine mtakuwa mmejifunza mengi hapo, na wale wanaohisi ni habari ya kutunga wanakosea.
Sijaja kumlaumu yoyote isipokuwa nilipenda kushare nanyi yaliyonitokea (kama kuna aliyekwazika anisamehe). Kuhusu kuwataja sitoweza maana kiustaarabu sio vizuri na hata sheria inakataza.
Husninyo dada yangu naomba usiondoke mimi nipo tayari kukununulia hata gari ngoja nitamuuliza mwali kuwa gari gani unaipenda ..na huyu klorokwini sijui kwa nini alikusumbua hadi mkakutana ilihali alikuwa anajua kuwa yeye tayari ni overage ningemsema sana ila namuogopa sana asije akanitwisha zigo la pwani. again i beg you dont leave we love you Husninyo
 
Yaani ulivyomsema shoti kunisawazishia njia kwako nime mindi sana anyway japo sipo kwenye list ya madhemeji na wadau mimi nitaumia zaidi yao.
 
Husninyo dada yangu naomba usiondoke mimi nipo tayari kukununulia hata gari ngoja nitamuuliza mwali kuwa gari gani unaipenda ..na huyu klorokwini sijui kwa nini alikusumbua hadi mkakutana ilihali alikuwa anajua kuwa yeye tayari ni overage ningemsema sana ila namuogopa sana asije akanitwisha zigo la pwani. again i beg you dont leave we love you Husninyo
Yes Husninyo, we love you... please stay.
Just change your PM settings and stay, plz...:grouphug:
 
Last edited by a moderator:
EMT hebu andamana turudishiwe vyeo vyetu lol. Kwani nini kimetokea mpaka tukashushwa vyeo?

Naandaa maandamano kwenda JF Admin kudai membership status za zamani.
Hii ya "Senior Member" wabakie nao vibabu na vibibi kama akina Asprin na Dark City
 
Last edited by a moderator:
Mwali nenda tu huko pm ungekuwa hujitambui ndio nisingekuruhusu but i know and believe you.
sasa hivi tufanye mikakati mtu wetu Husninyo arudi jamvini..haiwezekani aondoke kirahisi hivi kama kwa sababu ya vunyamkera wachache

Mtakatifu Ivuga, unatumia kitu inaitwa "reverse psychology". Mimi yangu macho!
 
Dah! Nimesoma comments zote ila sitoweza kujibu moja moja.
Kuna mliosema nalia lia ili nionewe huruma, sio kweli maana sioni nionewe huruma ya nini wakati maamuzi nimeshayafanya!. Humu tunajifunza kupitia kwa watu. Ningeweza kuondoka kimya kimya ila nisingependa kuondoka bila kuwaaga marafiki mkajiuliza kama nimekufa au lah (kuna rafiki yangu nae ametokomea na amenipa mashaka kwa muda mrefu).
Najua wengine mtakuwa mmejifunza mengi hapo, na wale wanaohisi ni habari ya kutunga wanakosea.
Sijaja kumlaumu yoyote isipokuwa nilipenda kushare nanyi yaliyonitokea (kama kuna aliyekwazika anisamehe). Kuhusu kuwataja sitoweza maana kiustaarabu sio vizuri na hata sheria inakataza.

dah... nilikua nakuona mjanja kweli arifu

kumbe wakuu wameacha manyoya??

pole sana aisee............ kweli kama alivyosema Jestina; invisible aweke bango aisee

HATA STORY TU, KULA KWENU!!!
 
mamboz?, leonataka kushare nanyi changamoto nilizokumbana nazo tangu nimejoin jf. Binafsi naaminichangamoto zinasaidia kutujenga kiakili na binadamu wote tunapitia challengestofautitofauti. Challenges nilizokumbana nazo humu zimenifanya kuwa mtu makinizaidi hivyo sina budi kushukuru kwa yote yaliyonikuta. Labda niende moja kwa moja kwa kile natakakushare nanyi then nitachukua fursa kuagana rasmi. Challenges zote zimesababishwa na watu ingawainawezekana na mimi nimechangia kwa namna moja au nyingine.
a.challenge.
nilimzoeahuyu mtu humu humu nilijua tutakuwa marafiki wazuri wa kushauriana na hatakupiga story ila sikuamini kuwa huyu mtu ni kuwadi (alinitafutia mwanaume). Sikupenda hayo mambo na mwisho wa sikutumekuwa maadui.
b.challenge
nilimchukulia kama ndugu yangu, nilikuwa kimbilio lake kila alipohitajiushauri. Nilimshirikisha pia baadhi ya mambo yangu, hatukuwahi kugombana hatakidogo. Rafiki huyu aliniambia ana shida ya pesa (nimkopeshe). Nilichukulia shidayake ni yangu, husninyo nikavunja kibubu…………
dahhhh, sahivi hatuwasiliani tena, hapigi wala hatumi msg , nimeshapigwakalenda mpaka nimechoka na sina matumaini tena ya kulipwa pesa yangu. Imeniumiza
c. Challenge
hii ilihusu rafiki yangu niliyekutana nae humu, alikuwa nirafiki mzuri ila sahivi sipo nae tena. Tulikuwa tukisalimiana kwa pm na kusharemawili matatu. Huyu rafiki amepotea ghafla jf, sijui kama amekufa au lah maanamwaka unakatika sasa. Hii inanihuzunisha sana.

d. Challenge
huyu nae nilifikiri ni kijana mwenzangu , tukapanga kuonana kwa nianjema. Dah, sikuamini kama ni kibabu tena karibia mara 3 ya umri wangu. Kibabu hiki baada ya pale kimeanza usumbufukinataka tu do. Tumeishia kugombana nahatuna mawasiliano tena.

e. Challenge
huyu alikuwa ni msumbufu sana kwenyepms. Tumesumbuana mwisho wa siku akakata tamaa. Muda si mrefu alibadili idakawa anatumia ya kike, watu wote mpaka sasa wanajua ni mwanamke na kabla ya hapo pia walikuwa wanajua ni mwanaume. Nashindwakuelewa ni mwanamke au mwanaume.

f. Challenge
huyu nae alikuwa ni rafiki ingawa sikupenda mazoe naeya ukaribu. Nilishindwa kuelew alikuwa ananipeleleza au lah, aliniomba nambayangu nikamnyima, baada ya wiki ananipigia na kudai yeye ni (……..) wa jf, sikupenda hiyo kitu.
najua wapinimekosea. Nataka kuzaliwa upya. Nimedecide kuchange maisha yangu ya kimtandao. Najua nina familyhapa: Mtambuzi- baba, mamdenyi-mama, kaizer-uncle, ashadii-aunt,cantalisia-sister, mwali-cousin, dark city & asprin – mababu, sweetlady-swahibana nipo na marafiki kibao pamoja na mashemeji (mnajijua.) my online husband – judgement, nitakumiss sana ilanimekuruhusu uoe mke mwingine maana najua maisha ya usingle hautoyaweza. Lol
nitakuwa nanyikwa siku tatu kuanzia leo kujibucomments zenu then nitomba parmanent ban kutoka kwa mods. Nitakuwa nasomahabari (najua humu ni kisima cha habari) kama guest na nitajoin tena miakaijayo ingawa kwa kipindi hicho sitokuwa the same husninyo as akili yangu itakuwaya kiutu uzima zaidi.
nafikiri mtakuwammejifunza kitu kwenye hii thread pia nitakuwa nimeondoa maswali ya watukujiuliza kwa nini nimekuwa banned. Wale members wenzagu wa je saccostutakutana kwenye vikao au ofisini kwenye kuchukua na kurudisha mikopo, waleambao tayari tumekuwa na mahusiano mazuri nje ya jf tutakeep in touch, waleambao tulipanga kuonana na kufahamiana nawapa pole (haitowezekana tena). Nawatakiakila la heri na mungu awalinde. Nawapenda sana.
hamia face book kule ndio kuna kufaa maana kule hakuna mababu mjukuu wangu! Ila yule babu kani pm kaniambia mambo mazito ambayo nitayaweka wazi kesho, lakini niakikishiwe usalama wangu kwanza. Wewe umeongea ,sasa kibabu nacho kimeronga kuhusu wewe. Uzi nitauweka saa 6 kamili.
 
Huu uzi hauna mashiko. Mleta uzi sidhani kama ni underage kid.
Ni mtu mzima na sharubu au maziwa yameshalala zamaani.
S/he is a consensual adult na anajua anachokifanya na yuko responsible
na consequences za anachokifanya. Kulialia na kufungua uzi ni kutafuta
tu sympathy kwa wene mioyo kama yake. Kama anaona kaonewa aende
kwene vyombo vya dola uone kama atakua na kesi.

Hii ni sob story tu, kwa mtazamo wangu.

Manake kama kweli mtu yamekushinda ama unasepa kimya kimya au unakuja tu na jina jingine.

As simple as that! I don't owe anyone a goodbye.
 
but na hao watu wakisema their side of stories....tunaweza kubaki mdomo wazi
mfano huyo kibabu
inaweza kuwa na Husninyo alimjaza sifa za uwongo.....

ohhh niko kama Beyonce only more sexy......kibabu cha watu kikauza mashamba huko
kwenda kumuona Husninyo....akakuta labda the younger version ya bi kidude lol

Lol lol.....we sio mzima! Humu ndani kuna vituko sana. Hus hii habari ina ukweli au umekaa tu ukafikiria kuwa haya mambo yanaweza kutokea?au kuna moja kati hayo limekukumba?hebu kuwa serious basi maana humu ndani masihara mengiiii. Mtu anaweza kuandika kitu hapa tukaamini kumbe anacheza na vichwa vyetu. Kama ni kweli itaniuma sana kukukosa humu ndani,ww ni mmoja wa watu nnaowapenda.
 
yummy, sina namna ya kuwafanya watu waamini ni ukweli ila ukweli ndio huo. Ahsante.
 
dah... nilikua nakuona mjanja kweli arifu

kumbe wakuu wameacha manyoya??

pole sana aisee............ kweli kama alivyosema Jestina; invisible aweke bango aisee

HATA STORY TU, KULA KWENU!!!

umetumia uhuru wako wa kuongea. Ahsante.
 
yummy, sina namna ya kuwafanya watu waamini ni ukweli ila ukweli ndio huo. Ahsante.

Pole sanaaaa......naomba ubadili ID basi walau niendelee kukusoma kwa jina tofauti though sitajua km ni ww ila michango yk itanifanya niipende hy ID mpya.
 
but na hao watu wakisema their side of stories....tunaweza kubaki mdomo wazi
mfano huyo kibabu
inaweza kuwa na Husninyo alimjaza sifa za uwongo.....

ohhh niko kama Beyonce only more sexy......kibabu cha watu kikauza mashamba huko
kwenda kumuona Husninyo....akakuta labda the younger version ya bi kidude lol

Hahaaaaa!Nimgeni kiasi Jf,Ila hapa nimecheka mpaka mbavu zinauma!Umetisha na hii reply!
 
Naandaa maandamano kwenda JF Admin kudai membership status za zamani.
Hii ya "Senior Member" wabakie nao vibabu na vibibi kama akina Asprin na Dark City
Ndio naona, kumbe sasa hivi ni mwendo wa usenior member? Duh!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom