Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Kama atasajiliwa Chama huyu wa sasa sijui kama ataweza fit mfumo wa Gamondi maana haupatani na watu wavivu na wenye umri mkubwa. Mpira wa Gamondi, wachezaji wanatumia nguvu nyingi sana uwanjani. Isije ikawa yale yale ya Okrah kuishia kukaa tu nje.Isije tu ikawa mnataka kuwaingiza tena mkenge viongozi wa mbumbumbu Fc. Maana kuna tofauti kubwa kati ya yule Chama wa misimu kadhaa iliyopita, na huyu Chama wa sasa.
😂😂🤣🤣😂Kwani chama yeye anasemaje
Ngoja tusubiri tuone.Kama atasajiliwa Chama huyu wa sasa sijui kama ataweza fit mfumo wa Gamondi maana haupatani na watu wavivu na wenye umri mkubwa. Mpira wa Gamondi, wachezaji wanatumia nguvu nyingi sana uwanjani. Isije ikawa yale yale ya Okrah kuishia kukaa tu nje.
Upo sahihiSioni nafasi ya Chama kwenye timu ya Yanga inayocheza mpira wa kasi na kila mchezaji anakaba kwa nguvu zote. Huyu Chama hakabi na huwa anakata tamaa akikabwa sana, naona atafeli mapema mno, japo anaweza kuwa sub nzuri ya Max kwenye dakika za jioni.
Simuoni Chama akikiwasha kikosi cha kwanza Yanga. Hana huo msuli.