Tetesi: Chama amesaini mkataba wa mwaka mmoja kwa mabingwa Yanga

Tetesi: Chama amesaini mkataba wa mwaka mmoja kwa mabingwa Yanga

Aondoke na Mashabiki wake hasa watoto wa 2000 walioanza kuishabikia Simba 2018 Baada ya chama kuja.

Tubaki sisi tulioanza kuijua Simba kabla hata chama hajazalaiwa🤒
 
Ile misemo ya Chama ni Mzee , chama hana spidi , chama ni konokono , chama anapoza mpira , chama hawezi pata namba Yanga huko kwenu bado ipo? Au kwakuwa kaenda huko sasa atageuka kuwa kijana mwenye spidi ?
Ukweli utabakia tu pale pale. Chama umri umeenda. Ila mpira anao. Ni kama tu ilivyokuwa kwa Saido Ntibazonkiza.
Aliondoka Yanga siyo kwa sababu alikuwa hafai! Ni nidhamu tu na umri wake ndiyo vilichangia.
 
Chama kawa mchezaji wa benchi kwenye mechi kubwa
 
Back
Top Bottom