Tetesi: Chama amesaini mkataba wa mwaka mmoja kwa mabingwa Yanga

Tetesi: Chama amesaini mkataba wa mwaka mmoja kwa mabingwa Yanga

Nadhani viongozi waliamua tu kujikosha baada ya kufanyiwa umafia kwa Fabrice Ngoma. Ila kiukweli alikuwa ni average player.
Hahaha, Amechangamsha ligi lakini. Ndo raha ya mpira wetu.
 
Chama khaaa umri.pia aongeze speed kidogo......basi sawa acha tusubiri
 
Simba soon wataingia mkenge wamsajil afu kwa pesa ndefu sana

Dili inasikwa kiakili sana

Hongera sana yanga kwa hili
 
We mbona kigeugeu mkuu, post zako za hapo juu umekomenti negatively ila hapa umekuwa mtetezi wa Chama😂😂🙌
Ukigeugeu wa nini sasa! Nimesema Chama ni mchezaji mzuri. Ila umri tu ndiyo umeanza kumtupa. Kwa hiyo ikitokea kweli akasajiliwa Yanga, uwezekano wa kucheza mechi nyingi ni mkubwa kutegemeana na mwalimu atakavyo amua.

Ila mimi ndiyo ningekuwa kocha wa Yanga; nisingemsajili.
 
Yanga wanahitaji strikers , ni bora wangemasajili Kibu Denis kulevya koliko Chama
 
Huyu Chama mnamtukuza tu ila huko kwao hata hamtambui kama tishio
 
Sioni nafasi ya Chama kwenye timu ya Yanga inayocheza mpira wa kasi na kila mchezaji anakaba kwa nguvu zote. Huyu Chama hakabi na huwa anakata tamaa akikabwa sana, naona atafeli mapema mno, japo anaweza kuwa sub nzuri ya Max kwenye dakika za jioni. Simuoni Chama akikiwasha kikosi cha kwanza Yanga. Hana huo msuli.
Haaahaa 😂😂 maneno yangekua yanaua wengine tungekua tumesha kufa tayar...

Binafsi Mimi Ni shabiki wa Simba Ila issue ya CHAMA kwenda yanga anaweza na ukashangaa aka fit vizuri kabisa...

Maneno yangekua yanatoa toboa wengine tungekua na matobo mwili mzima..

All in all,
Ni RUKSA kuzungumza CHOCHOTE kusema chochote maana kuongea ni bureee hatulipii ushuru...

Wengine maneno ndio hutupa nguvu ya kuwa prove watu wrong
 
Sijui kwanini Yanga tunahangaika na Chama,nina imani tunaweza kupata best fresh player toka nje hapa Africa
 
Chama khaaa umri.pia aongeze speed kidogo......basi sawa acha tusubiri
Ile misemo ya Chama ni Mzee , chama hana spidi , chama ni konokono , chama anapoza mpira , chama hawezi pata namba Yanga huko kwenu bado ipo? Au kwakuwa kaenda huko sasa atageuka kuwa kijana mwenye spidi ?
 
Aziz Ki anacheza nafasi ya Nani? Pacome anacheza nafasi ya Nani? Max anacheza nafasi ya Nani? Mudathiri anacheza nafasi ya Nani??

Hili swali eti Chama atacheza nafasi ya nani ni la kijinga Tu hakuna mtu mwenye nafasi... Kwa kifupi Chama atacheza nafasi yake....

Ohhhj chamaaaaaa Karibu Sana Kwenye timu ya mabingwa
Hajui kwamba wacheza Huwa wanaumia lengo la yanga ni kuchukua ubingwa wa Africa 🌍
 
Back
Top Bottom