Ile misemo ya Chama ni Mzee , chama hana spidi , chama ni konokono , chama anapoza mpira , chama hawezi pata namba Yanga huko kwenu bado ipo? Au kwakuwa kaenda huko sasa atageuka kuwa kijana mwenye spidi ?
Ukweli utabakia tu pale pale. Chama umri umeenda. Ila mpira anao. Ni kama tu ilivyokuwa kwa Saido Ntibazonkiza.
Aliondoka Yanga siyo kwa sababu alikuwa hafai! Ni nidhamu tu na umri wake ndiyo vilichangia.