CHAMA AMESHATUA SIMBA MDA HUU

Inategemea na Falsafa ya timu mkuu
 
Hao mpira wao mdogo sana saizi yao ni Simba tu.
 
Tumekubaliana kwa hii SIMBA NI NZURI SANA, kwanini tusajili tena dirisha dogo tena namba ambazo kuna watu makini kama KANOUTE??
Miongoni mwa wachezaji wa Simba wanaowindwa na timu zingine ni Thadeo Lwanga,Rali Bwalya.

Tetesi za watakao achwa dirisha dogo iwe kwa mkopo au vinginevyo ni Mkuu wa majeshi Pascal Wawa,Mugalu,Duncan Nyoni,Piter Banda.
Timu kusajili ni kawaida hata iwe imara kiasi gani bado timu inaweza kusajili.
 
Kwanini mnamwonea sana Wawa ?
Kwa mpira mkubwa wote huo anaoupiga bado mnamwona hafai.
Wachezaji wa Kigeni wenye kiwango kibovu ni.
Mugalu
Anafuata Sackho
Anafuata Duncan Nyoni.

Hao watatu wanaweza ondoka au kutolewa kwa mkopo.
 
Dancun na Peter kwa vile Luhende wa Kagera Sugar alikuwa na bei kubwa ?
 
Dancun na Peter kwa vile Luhende wa Kagera Sugar alikuwa na bei kubwa ?
 
Kwanini mnamwonea sana Wawa ?
Kwa mpira mkubwa wote huo anaoupiga bado mnamwona hafai.
Wachezaji wa Kuheni wenye kiwango kibovu ni.
Mugalu
Anafuata Sackho
Anafuata Duncan Nyoni.

Hao watatu wanaweza ondoka au kutolewa kwa mkopo.
Wawa anastaafu.
 
Wawa anastaafu.
Kama anastaafu mwenyewe basi sawa.
Basi wataondoka.

Wawa.
Kustaafu

Sackho.
hamna kitu hapo zaidi ya kuanguka anguka na kukimbila kimbia.

Mugalu.
Sio mfungaji ni mkabaji mabeki.

Duncan Nyoni.
Ana udambwi udambwi usiokuwa na manufaa kwa timu. hana kasi wala nguvu, hakabi kabisa.

Kagere
Ingawa bado anajitutumua na kujituma sana tatizo Umri umemtupa mkono.
 
km vile umepigwa na kitu kizito kichwani. Unahema kwa taaabu Sana. Kunywa maji mengi upumzike mkuu wangu.

Huu mchezo hauhitaji hasira!
 
Unajua kwenye usajili kuna wakati timu inaweza sajili mchezaji mzuri lakini uwanjani akabuma.
De Maria kaupiga kule Madrid lakini alipotua Man akatepeta.
De Maria uyouyo katoka Man U akaenda P.S.G kule anaupiga mwingi mpaka unamwagika.

Kalinyos alipotua bongo akuruhusiwa kukanyaga ardhi angechafuka wakambeba kwenye machela mpaka kwenye gari.
Alipoingia uwanjani ni viazi vilivyooza hana kitu zaidi ya miguu myembamba kama spoku za baiskeli.
 
mlimuuza kwa hasira mmemrudisha kwa kumuomba na magoti juu aisee aliyewaita makolo mbumbumbu hakukosea
 
ili ni garasa, kama kweli tumemsajili tumeingia mkenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…