CHAMA AMESHATUA SIMBA MDA HUU

CHAMA AMESHATUA SIMBA MDA HUU

kenny mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2021
Posts
316
Reaction score
848
Msemaji wa simba sc, bwana kamwaga amepost picha hii ya kiti katika page yake ya fb na kuandika 90% soon kitu kinachomaanisha anakwenda kusimamisha mitandao leo lakini inasemekama tayari chama yupo mjini hapa na leo anatangazwa kuwa mchezaji halali wa simba sc jioni ya leo,
Karibu sana clatous chama simba
FB_IMG_16396480629492613.jpg
FB_IMG_16395699051355960.jpg

Sent from my SM-J260T1 using JamiiForums mobile app
 
Mikia kweli akili ziko matakoni. Hivi kuna kazi mnafanya nyie vijana wa mikia?. Ni kama mnadanganywa hivi kwamba kuanzia asubuhi,usiku unalala unawaza simba tu. Hii ndio BREAKING NEWS utumbo huu?. Nimeona kichwa kikubwa BREKING NEWS. Moyo ukafanya paa na kufurahi kwa mbali kwamba labda nae mwingine amekufa tupumue kidogo. Nakutana na utumbo huu
 
Msemaji wa simba sc, bwana kamwaga amepost picha hii ya kiti katika page yake ya fb na kuandika 90% soon kitu kinachomaanisha anakwenda kusimamisha mitandao leo lakini inasemekama tayari chama yupo mjini hapa na leo anatangazwa kuwa mchezaji halali wa simba sc jioni ya leo,
Karibu sana clatous chama simba
Makolo katika ubora wao. Wachambuzi wamichongo wanaingia king mda si mrefu
 
Mikia kweli akili ziko matakoni. Hivi kuna kazi mnafanya nyie vijana wa mikia?. Ni kama mnadanganywa hivi kwamba kuanzia asubuhi,usiku unalala unawaza simba tu. Hii ndio BREAKING NEWS utumbo huu?. Nimeona kichwa kikubwa BREKING NEWS. Moyo ukafanya paa na kufurahi kwa mbali kwamba labda nae mwingine amekufa tupumue kidogo. Nakutana na utumbo huu

Kunywa maji ya baridii upunguze hasira,inaonekana leo either nyumbani au kazini wamekuvuruga.Hasira hizi si bure [emoji3][emoji3]
 
Mikia kweli akili ziko matakoni. Hivi kuna kazi mnafanya nyie vijana wa mikia?. Ni kama mnadanganywa hivi kwamba kuanzia asubuhi,usiku unalala unawaza simba tu. Hii ndio BREAKING NEWS utumbo huu?. Nimeona kichwa kikubwa BREKING NEWS. Moyo ukafanya paa na kufurahi kwa mbali kwamba labda nae mwingine amekufa tupumue kidogo. Nakutana na utumbo huu
Kwan Covid-19 bado inawakula hao unaowaombea RIP??
 
Back
Top Bottom