CHAMA AMESHATUA SIMBA MDA HUU

CHAMA AMESHATUA SIMBA MDA HUU

Mikia kweli akili ziko matakoni. Hivi kuna kazi mnafanya nyie vijana wa mikia?. Ni kama mnadanganywa hivi kwamba kuanzia asubuhi,usiku unalala unawaza simba tu. Hii ndio BREAKING NEWS utumbo huu?. Nimeona kichwa kikubwa BREKING NEWS. Moyo ukafanya paa na kufurahi kwa mbali kwamba labda nae mwingine amekufa tupumue kidogo. Nakutana na utumbo huu
Tafuta mahali penye kivuli na hewa ya kutosha ukae mapigo ya moyo yataenda sawa.
 
This is SIMBA
giphy.gif
 
Miongoni mwa wachezaji wa Simba wanaowindwa na timu zingine ni Thadeo Lwanga,Rali Bwalya.

Tetesi za watakao achwa dirisha dogo iwe kwa mkopo au vinginevyo ni Mkuu wa majeshi Pascal Wawa,Mugalu,Duncan Nyoni,Piter Banda.
Timu kusajili ni kawaida hata iwe imara kiasi gani bado timu inaweza kusajili.
Banda na Mugalu hawawezi kuachwa
 
Hakuna Kitu Apo Shirikisho Mtatoka Tu Na Huku Ubingwa Yanga Tutachukua [emoji23]
 
mnatia huruma aisee...haya bora chama karudi masononeko yapungue maana timu imekuwa mbov mpk mnarudisha wachezaji
Kwani nyie Makombo mmempeleka au mmemrudisha?? Msivyo na kumbukumbu kama kuku wa mdondo!!
 
Labda chama wa buguruni na sio chama ninaemjua mimi, nenda kwenye website ya RS berkane utaona wameandika nini kuhusu chama na wanajiandaa na mechi inayofuata chama akipewa shavu la kuanza kwenye mechi iyo jumamosi, sasa izo habari zenu za kwamba chama yuko Tanzania inawezekana kuna chama wawili alafu mnapongezana ujinga tu milivyo na akili za kushikiwa
Tatizo ni kutojua maana ya kujibu hoja. Hoja hujibiwa kwa hoja.
Wewe badala uweke website ya RS Berkane ku-justify ukweli unaoujua ili kuuanika uwongo, unaleta quiz.[emoji196][emoji196]
 
Tumekubaliana kwa hii SIMBA NI NZURI SANA, kwanini tusajili tena dirisha dogo tena namba ambazo kuna watu makini kama KANOUTE??
Kakojoe ulale kumekuchwa mkuu. Huko mnakowazungumzia akina Makusu mbona mnasema kikosi kizuri?
Fikiri kabla ya kuandika siyo kuhemka kwa ushabiki.
 
mlimuuza kwa hasira mmemrudisha kwa kumuomba na magoti juu aisee aliyewaita makolo mbumbumbu hakukosea
Hakuna aliyemwuza kwa hasira bali alilazimisha mwenyewe bado huduma yake ikitakuwa Msimbazi. Wangefanya nini?
 
Back
Top Bottom