Chama anaenda kuchukua nafasi ya nani Simba?

Ukiangalia kwa jinsi Simba ya sasa inavyocheza, mfalme wa zamani wa timu hiyo Chama ambaye atatambulishwa muda wowote kuanzia sasa, je ni nani atampisha Chama kwenye kikosi cha kwanza? Vipi nafasi ya Pape Sakho haipo shakani kweli?
In the first place lazima achukue nafasi ya mgeni, tuanzie hapo.
 
Kaka yote ni matunda ya malezi mabaya.
Mtoto toka anazaliwa hadi anakuwa mkubwa anaskia wazazi wake wanatukanana au kutukana watu hadharani.
Au anatukanwa mtoto na wazazi wake hadi anakuwa mtu mzima
Unategemea huyu mtoto akikuwa atakuwa mtu mstaarabu na muungwana?
 
Mkuu nimekupata.
Acha nimpe Kibu mechi tano zaidi kabla sijarejea msimamo wangu wa kumkataa Kibu mimi kama mimi.
 
Walitutia aibu sana Samatta akiwa Aston Villa. Mungu atusaidie kwa kweli. Shida sijui ni nini kwa watoto wetu
 
Kati ya Bwalya au Kibu atampisha mwamba wa Lusaka.

Minapendekeza Kibu abebwe kwenye gari akatupwe kigamboni kule Evic town Uto wamuokote awe mchezaji wao.pale Simba ni mzigo.
Really?;🧐
 
Nashangaa sana yaani mtu unauliza kwa lugha safi iliyonyooka yeye anakujibu kwa matusi

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Pamoja na yote CHAMA anatakiwa ABADILIKE kiuchezaji ili aendane na Kasi ya Simba ya Sasa........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…