Chama aomba kuondoka Simba SC

Chama aomba kuondoka Simba SC

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Clatous Chota Chama kiungo fundi wa Kimataifa wa Simba kutoka Zambia ameomba kuondoka kikosini Simba msimu huu unaoisha.

Pande zote mbili zipo zikijadiliana kuhusu sakata hilo. Tetesi zinadai Chama anataka kwenda South Africa kama ilivyo kwa Rally Bwalya.

My take:
Kama ni kweli naona kabisa Chama akipita njia zilezile za Okwi miaka ile alivyokuwa anajua kuisumbua Simba hasa pale anapokuwa hajapewa hela yake
815B6E73-2A9B-4983-8E9B-8A3CD6CD869F.jpeg
 
TETESI: Pablo afungua kesi CAS kumshtaki chama na simba kwa ngumi alizopigwa na clatous chama half time kwenye mechi dhidi ya mabingwa watarajiwa wa CAF mwaka huu yaani yanga

Pablo alitaka simba ichukue hatua lakini simba waksingizia chama anaumwa kumbe anadai milioni 300 alizojikomboa nazo Berkane na hajalipwa

Kama haitoshi chama alienda ofisini kwa Mo Dewji akampiga mangumi secretay wa Boss la mchongo Mo dewji baada ya kunyimwa kumuona ili kulipwa pesa zake
 
Simba imepoteana sana, mbaka waje kukaa sawa itachukua mda sana. mbaka muda huu Simba tayari amesha poteza ubingwa wa next season.
Hadi Manara arudishwe mkuu na kuombwa radhi, imepoteana mnoooooo
 
Back
Top Bottom