Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, Kufutwa Kwa Mujibu wa Katiba!... Endapo ...!

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, Kufutwa Kwa Mujibu wa Katiba!... Endapo ...!

Status
Not open for further replies.
Nashauri ile comment yako ya kufufua Uzi uiweke kama update ili wafuatiliaji waelewe@pasco
 
Ni kweli Haki zilizotolewa kikatiba zimetungiwa kanuni,lakini katiba yenyewe inasema sheria yeyote haitakiwi kukinzana na primary objective yake,yaani yenyewe ni sheria mama!Ndio maana juzi umesikia mahakama imemng'oa meno DPP kwa kuondoa kifungu kinachopingana na katiba!
Pasco katiba hiyo hiyo ndio imemweka Rais madarakani,na ndio hiyo hiyo imetambua vikosi vya ulinzi na usalama!Ni sawa wao kuisigina katiba kwa kutumia sheria vibaya lakini si sawa kwa vyama vya siasa Kutumia haki waliyopokwa!
Tuvute subira,tuone hiyo tarehe moja kitatokea nini!Mwenye mpini ni serikali nakubali lakini siku zote dhulma haijawahi kuishinda haki,wanaweza fanya wakaona wameshinda kwa muda tu ila kumbe ndio wamejiwekea bomu!
Mkuu Bomi, kwa hoja hii, nakubaliana na wewe, asilimia 100% kwa 100%.

Nisome hapa nilisema nini
Bora Katiba tuikubali, tusiichukie CCM kwa sababu CCM itahukumiwa ...

Pasco
 
Hayo na mawazo yen na jaj uyo ila jua icho n chama kinawafas weng sn hata kuzid ssm ivo wakikifta ndo watachochea vurugu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom