Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, Kufutwa Kwa Mujibu wa Katiba!... Endapo ...!

Status
Not open for further replies.
WTF is just an abbreviation for' What the f*$k'. Just like USA is for 'United States of America'.

Sasa bonafide genuine ndo kitu gani hicho? Kwanza hamna neno "bonafide". Kuna maneno 'bona fide'.

Ni communications skills za wapi hizo? Ukiniambia ni suala la 'style' hapo naweza kukukubalia.

Lakini communications skills na logic? Nah bruh!

It's just like saying ‘They spoke in turn, one after the other.' It's tautological.

Ukiingia JF ukakuta neno bonafide genuine elewa kuwa maana yake ni genuine indeed au halisi kindakindaki. Neno hilo hutumika in relation to video ya Lwakatare na historia yake ni mtaalam wa AV, Pasco, ambaye alilitumia kuhakikishia wana JF kuwa video ya Lwakatare sio fake.
 
Ni rahisi kumuondoa Kikwete madarakani kuliko kuifuta CHADEMA na kama anabisha ajaribu ...kwa wenye akili timamu tunajua nini kinacho endelea ...wanaoption nyingi sana mezani dhidi ya CHADEMA na hawajui ipi hasa itakayo wasalimisha huku wakichek dirishani 2015 nayo hiyooo...
 
Mtu yeyote atakayefurahia chadema kufutwa atakuwa haipendi nchi yetu. Lakini hii haimaanishi kuwa chadema ipewe licence ya kuvunja sheria zenye adhabu ya kufutwa. Kinachojadiliwa hapa ni iwapo chadema itakutwa na hatia ya kupanga na kutekeleza utekaji.

Halafu hii tabia ya wafuasi wa chadema kuonyesha kuwa Mungu kachagua chadema inaonyesha mapungufu makubwa sana kwenye fikra. Hii yote ni kutaka sympathy based on faith, jambo ambalo modern politics linalikataa kwa sababu ndio linalozaa wanasiasa desperate wanaotumia misingi ya imani kuomba kura. Mungu hana chama Tanzania, na hata angekuwa nacho kisingekuwa chadema. Chama cha Mungu hakiwezi kukaa miaka 21 kwenye upinzani.

Hizo ni ndoto za abunuwasi. Chezea nguvu ya umma wewe....
 
Chama kuwa upinzani kwa miaka mingi,bila kuchukua madaraka hakumaanishi kuwa chama hiko hakina support ya majority ya wananchi wa nchi hiyo,bali factor kubwa ni je mfumo wa uendeshaji wa nchi hiyo,unawezesha chama kilichopo madarakani,kikatangazwa kimeshindwa uchaguzi,endapo kitakataliwa na watu wengi kwenye ballot boxes?!

Hiyo ndiyo factor kubwa kwenye nchi zetu nyingi,hasa za barani Afrika,kwa chama cha upinzani kukaa kwenye upinzani bila kutwaa madaraka ya nchi.

Nitatoa mfano wa nchi 2,kuthibitisha madai yangu. Afrika kusini kwa miaka mingi sana ANC,kimekuwa opposition party,siyo kwa kuwa kile chama cha makaburu kilikuwa na majority support,lakini katiba ilipobadilika,iliwezesha kwanza mzee Mandela kutoka jela kwa miaka 27,bila kosa na pia ANC,kutwaa madaraka!!

Mfano wa pili ni Zimbabwe,ni jsmbo linlofahamika kuwa Mugabe na chama chake cha ZANU PF,wanaendelea kudumu madarakani,siyo kwa kuwa,wana majority support,bali kwa kuwa wanabebwa na vyombo vya dola. Mfumo wa nchi hiyo kama ungekuwa fair kwa vyovyote vile,hivi sasa Rais wa nchi hiyo,angekuwa Tsangirai na siyo,Mugabe!!

Vivyo hivyo kwa TZ,kama hapa napo tungekuwa na katiba ya nchi,ambayo inafanya political parties,wana equal opportunities wanapopractise,political affairs,basi si ajabu kwa hivi sasa CCM,ingebaki tu kwenye vitabu vya historia,kama ambavyo hivi sasa vilivyo KANU ya Kenya na UNIP ya Zambia,kuwa CCM nayo,tungeweza kuihadithia kuwa,iliwahi kuwa chama tawala,hapa TZ!!
 
Unachoandika ni tofauti na hoja iliyojengwa awali kuhusu chama kuwa cha Mungu. Mungu ashindwi kitu...
 
CHADEMQ NI MWIBA MKALI MNO KWA CCM, WAMEJARIBU MBINU ZOOTE KUKIUA IMESHINDIKANA.SASA WANAFIKIRIA NJIA YA KUKIFUTA. HUYO. TENDWA ASIFIKIRI VYAMA VYA SIASA NI MALI YA CCM, WALA ASIFIKIRI KUWA NI RAHISI KIUIFUTA CHADEMA KWA CHUKI ZAO BINAFSI KUTOKANA NA UROHO WA KUTAWALA BADALA YA KUONGOZA NCHI.SIO RAHISI KUIFUTA CHADEMA KAMA WANAVYOFIKIRI.TENDWA TUNAJUA UNAITUMIKIA CCM INAYOKUWEKA MJINI WEWE NA FAMILIA YAKO.ILA KWA HILI LA KUFUTA CHADEMA SAHAU! KAMA WEWE NI MWANAUME KWELI JARIBU UONE KITAKACHO TOKEA Maana Utajuta kuzaliwa.fisadi mkubwa wewe unayetumika kama condoms. Usiye na uzalendo na nchi yako...ndio maana hata meno huna.fisadi papa wewe! NDUGU ZANGU WANANCHI HUYU TENDWA NA TUMCHUKIE, NA TUSIMPE USHIRIKIANO NA TUKIMUONA TUMZOMEEE....HAFAI KATIKA JQMIII NI JANGA NA MZIGO.
 
Mkuu hawaijui nguvu ya umma hawa. Wanajifanya hawakuyaona yaliyotokea kwa Mubarak na kule Tunisia. Uonevu ukizidi kupita kiasi na watu wachache kujiona wao ndio wao kujilimbikizia utajiri wa kutisha na kuwanyanyasa kwa kila namna raia walio wengi itafika mahali raia wanaonyanyaswa watasema sasa basi "liwalo na liwe" hapo hakuna nguvu ya dola hata ikiwa na ndege za jeshi, vifaru, mbwa, virungu, maji washa itakayoona ndani. Chezeeni tu maisha ya watu bila kujua athari za kufanya hivyo.

Hizo ni ndoto za abunuwasi. Chezea nguvu ya umma wewe....
 
Sasa Pasco, yaani mda wote uliokaa na huyo mzee mkakosa vitu vya maana kabisa vya kujadili, mkaanza kujadili 'mambo yale yale'? Pasco wewe ni mwandishi wa habari, hebu pitia makabrasha yako utambie hii ilikuwa mara ya ngapi kwa Tendwa kuongelea 'uwezekenao wa kuifuta CHADEMA'?...

Ningekuwa mimi ndo nimapata nafasi ya kuongea na Tendwa, ningejitahidi nihakikishe maongezi yetu yanakuwa centered kwenye issue kama hiyo ya ukosefu wa sheria zinazokisimamia chama tawala, udhaifu wa sheria zinazompa raisi mamlaka makubwa, udhaifu wa sheria ya mabadiliko ya katiba....

Labda kiuchikozi kidogo ningemuuliza "Mzee, mbona umri wa kustaafu umeshafika lakini umeng'ang'ania ofisini? Kwa nini usiende nyumbani, akateuliwa mtu mwingine?

Anyway... I was joking Pasco... Najua siku hizi CHADEMA ndiyo stori ya mujini... Kuanzia baa, misikitini, makanisani, sokoni, barabarani, vilabuni, barabarani, redioni, tivini, magazetini, kwenye mitandao, sebuleni kwa watu, na hata vyumbani... Nape Nnauye mwenyewe siku hizi anapost kuhusu CHADEMA usiku wa manane... yaani akiwa na mkewe kitandani, mara anachukua iphone.... kala kala kala kala kala.... ili mradi ameandika chochote kuhusu CHADEMA..
 
Mtu yeyote atakayefurahia chadema kufutwa atakuwa haipendi nchi yetu. Lakini hii haimaanishi kuwa chadema ipewe licence ya kuvunja sheria zenye adhabu ya kufutwa. Kinachojadiliwa hapa ni iwapo chadema itakutwa na hatia ya kupanga na kutekeleza utekaji.

Halafu hii tabia ya wafuasi wa chadema kuonyesha kuwa Mungu kachagua chadema inaonyesha mapungufu makubwa sana kwenye fikra. Hii yote ni kutaka sympathy based on faith, jambo ambalo modern politics linalikataa kwa sababu ndio linalozaa wanasiasa desperate wanaotumia misingi ya imani kuomba kura. Mungu hana chama Tanzania, na hata angekuwa nacho kisingekuwa chadema. Chama cha Mungu hakiwezi kukaa miaka 21 kwenye upinzani.

Mipango ya Mungu sio mipango ya Tuko wala ya Ze Marcopolo...
Kwani Mfalme Daudi alianza kutawala miaka mingapi baada ya kutiwa mafuta?
 
Hebu jaribuni kufanya huo upuuzi na sisi tuwaonyeshe jinsi ya kuucheza muziki wa Libya , Tunisia na Misri .
 
CHADEMQ NI MWIBA MKALI MNO KWA CCM, WAMEJARIBU MBINU ZOOTE KUKIUA IMESHINDIKANA.SASA WANAFIKIRIA NJIA YA KUKIFUTA. HUYO. TENDWA ASIFIKIRI VYAMA VYA SIASA NI MALI YA CCM, WALA ASIFIKIRI KUWA NI RAHISI KIUIFUTA CHADEMA KWA CHUKI ZAO BINAFSI KUTOKANA NA UROHO WA KUTAWALA BADALA YA KUONGOZA NCHI.SIO RAHISI KUIFUTA CHADEMA KAMA WANAVYOFIKIRI.TENDWA TUNAJUA UNAITUMIKIA CCM INAYOKUWEKA MJINI WEWE NA FAMILIA YAKO.ILA KWA HILI LA KUFUTA CHADEMA SAHAU! KAMA WEWE NI MWANAUME KWELI JARIBU UONE KITAKACHO TOKEA Maana Utajuta kuzaliwa.fisadi mkubwa wewe unayetumika kama condoms. Usiye na uzalendo na nchi yako...ndio maana hata meno huna.fisadi papa wewe! NDUGU ZANGU WANANCHI HUYU TENDWA NA TUMCHUKIE, NA TUSIMPE USHIRIKIANO NA TUKIMUONA TUMZOMEEE....HAFAI KATIKA JQMIII NI JANGA NA MZIGO.

mkuu usishangae wala usihofu hizi ni zile stage zao za kutekeleza udhalimu wao juu ya demokrasia lakini kila njia wanayojaribu inagota wao lengo la ilikuwa ni kesi ya ugaidi na bado watakuja na ya kupanga njama kumpindua jk.tulianza na mungu na tutamaliza na mungu
 
Mkuu kombajr tatizo la maCCM huwa hawana akili hata kidogo....huwa hawana visions wao wanachojua ni kuchumia matumbo yao.wasifikiri kuwa wana uwezo wa kukifuta chadema baada mbinu zao chafu za kishetani kukwama.chezea nguvu ya umma wewe!
 
Atakayethibitisha Hilo jambo pasipo Shaka ni nani? Ni ofisi ya Tendwa, ambaye ni kada wa CCM? Ni polisi, ambao wanatumiwa na CCM kuikandamiza CHADEMA?

Kama wathibishaji na wafutaji ni CCM na vitengo vyake basi hilo linawezekana, na CHADEMA wameshahukumiwa tayari kabla hata ya kuthibitisha. Lakini Kama ni kwa misngi ya sheria na haki za binadamu huo uthibitishaji ni mgumu sana, hasa ukizingatia kwamba mahakama imeshafuta tayari mashitaka ya ugaidi dhidi ya Lwakatare.
 
Yaani Pasco ulienda kujipitishapitisha kwa Tendwa ili mjadiri upuuzi!!?? Njaa zitakuua!!
 
...kutamani kitu hatari na kisichowezekana ni dalili za mwisho za utawala uliopoteza uhalali wa kuongoza nchi...
 
Mi nadhani angeanza kuipeleka CCM. Mahakamani kwani kiongozi wake Mwigulu anathibitika na mkanda wa Lwakatare kuwa mshiriki. Mazingira yote yanaonesha na mahakama itatoa maamuzi siyo yeye.

Rais kikwete ambaye ni mwenyekiti wa CCM amewahi kili kuwa alikuwa na kundi ndani ya CCM lililo msaidia kupata nafasi ya kugombea uraisi kupitia CCM. Lakini makundi yaliendeleza kukipasua chama hadi leo. Je kwanini tusiamini na haya makundi ya kidini yanayo ipasua nchi yaliyo muweka madarakani 2010 kuwa yeye ndiye aliyeasisi. Huyo msajili amefikiria hilo
 
Kwavile mkanda ni bonafide genuine na kwavile chadema wamekataa kujitenga na mambo binafsi ya Lwakatare, basi Tendwa asilaumiwe huko mbeleni...

hatolaumiwa kwakutimiza matakwa ya mabos wake ccm ila atahukumiwa mbele ya Mungu kwakuichelewesha Tz kupata uhuru wake na hata mtafaruko ambao utaweza kutokea baada ya kufanya hivyo na nadhani inaweza kupelekea serikali kuvumjika
 
Halafu hii tabia ya wafuasi wa chadema kuonyesha kuwa Mungu kachagua chadema inaonyesha mapungufu makubwa sana kwenye fikra. Hii yote ni kutaka sympathy based on faith, jambo ambalo modern politics linalikataa kwa sababu ndio linalozaa wanasiasa desperate wanaotumia misingi ya imani kuomba kura. Mungu hana chama Tanzania, na hata angekuwa nacho kisingekuwa chadema. Chama cha Mungu hakiwezi kukaa miaka 21 kwenye upinzani.
Mkuu Ze Marco, inategemea ni Mungu gani!, kama aliweweza kuwaacha taifa lake kwa miaka 400 wakiteseka utumwani Misri, miaka 21 ni nini?. Au kama aliwaacha wakitanga tanga jangwani kwa miaka 40 kabla ya kufika nchi ya ahadi, miaka 21 ni nini?. Kwa maana hamjui siku wa saa atakaporudi, watu wanazaliwa hadi wanakufa wakiisubiria hiyo siku, then miaka 21 ni nini?. Kwa sababu yule mwanasiasa wetu number 1 humu jf, amekwisha itabiria CCM kutawala miaka 100, 52 imeishakatika, imebaki 48 tuu, hivyo msiwe na shaka, siku hiyo itafika tuu, kila lenye mwanzo, lina mwisho, kwa vile CCM inamwanzo, ni hakika ina mwisho, ila sio lazima mwisho uwe 2015! ila mwisho upo na unakuja!. Pasco.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom