Itathibitika pasipo shaka, proven beyond reasonable doubt, kuwa viongozi wakuu wa Chadema, walijua, walishiriki, na walihusika kwa namna moja au nyingine, katika upangaji au utekelezaji wa vitendo vyovyote vya kuvuruga amani na utulivu wa taifa hili!, Chama hiki kitapoteza sifa ya kuwa chama cha siasa, na kitafutwa rasmi, scraped from the book of political parties, mara moja na bila huruma yoyote!..
Kwavile mkanda ni bonafide genuine na kwavile chadema wamekataa kujitenga na mambo binafsi ya Lwakatare, basi Tendwa asilaumiwe huko mbeleni...
Pasco,
Hivi Nikimuita Tendwa KIBARAKA wa MACCM nitakuwa nimekosea au Kumtusi kweli?
Kifupi: Weka Mbali na TEMBO.
Ni kweli inaweza kuwa ngumu de jure, lakini kwa vile chadema wamejimilikisha kesi binafsi ya Lwakatare kwahiyo de facto hukumu ya Lwakatare inakuwa hukumu ya chadema.
Chadema kitaonekana chama cha ajabu kuliko vyote duniani iwapo Lwakatare akikutwa na hatia wataamua kumkana. Kwahiyo mkanda ukishathibitika kisheria kuwa ni "bonafide genuine" basi chadema wanakuwa na kesi ya kujibu kama chama. Na hapo ndipo Tendwa atakuwa standby na kalamu yake nyekundu...
Ni kweli inaweza kuwa ngumu de jure, lakini kwa vile chadema wamejimilikisha kesi binafsi ya Lwakatare kwahiyo de facto hukumu ya Lwakatare inakuwa hukumu ya chadema.
Chadema kitaonekana chama cha ajabu kuliko vyote duniani iwapo Lwakatare akikutwa na hatia wataamua kumkana. Kwahiyo mkanda ukishathibitika kisheria kuwa ni "bonafide genuine" basi chadema wanakuwa na kesi ya kujibu kama chama. Na hapo ndipo Tendwa atakuwa standby na kalamu yake nyekundu...
Umeguswa hutaki kukubaliana na ukweli, lakini kaa usubiri huyo Mungu usiye mkubali kuwa kiongozi wa chama, atakupa majibu yake!!!!Mtu yeyote atakayefurahia chadema kufutwa atakuwa haipendi nchi yetu. Lakini hii haimaanishi kuwa chadema ipewe licence ya kuvunja sheria zenye adhabu ya kufutwa. Kinachojadiliwa hapa ni iwapo chadema itakutwa na hatia ya kupanga na kutekeleza utekaji.
Halafu hii tabia ya wafuasi wa chadema kuonyesha kuwa Mungu kachagua chadema inaonyesha mapungufu makubwa sana kwenye fikra. Hii yote ni kutaka sympathy based on faith, jambo ambalo modern politics linalikataa kwa sababu ndio linalozaa wanasiasa desperate wanaotumia misingi ya imani kuomba kura. Mungu hana chama Tanzania, na hata angekuwa nacho kisingekuwa chadema. Chama cha Mungu hakiwezi kukaa miaka 21 kwenye upinzani.
19-(1) Subject to subsection (2) the Registrar may cancel the registration of any political party which has contravened any of the provisions of this Act or which has otherwise ceases to qualify for registration under this Act.
(2) The Registrar shall not cancel the registration of any party unless-
a) he has, in writing, informed the party concerned of the contravention or the loss of qualification and of the intention to cancel the registration;
b) he has received or failed to receive, within the period. Prescribed by him, any representations from the party concerned;
(c) he has submitted to the Minister the intention to cancel the registration of the party together with any representations made by the party and the Minister has agreed
to such cancellation.
20--(1) The decision of the Registrar on the registration of the cancellation of the registration of any party shall be final and shall not be the subject of appeal in any court.
(2) Nothing in subsection (1) shall be construed to preclude judicial review of the decision
of the Registrar.
(2) Without prejudice to subsection (1) of this section no political party shall qualify for provisional registration if by its constitution or policy---
a) aims to advocate or further the interests of –
(i) any religious belief or group;
(ii) any tribal, ethnic or racial group; or
(iii) only a specific area within any part of the United Republic;
b) it advocates the breaking up of the union constituting the United Republic;
c) it accepts or advocates the use of force or violence as a means of
attaining its political objectives;
.....Kwa kumalizia, nilimuulizia kidogo kuhusu kuijua jf, akasema anaijua sana na anaisoma, ila anakerwa na watu ambao wao kazi yao ni kutukana tuu na kuchangia kwa lugha zisizo heshima na staha kwa viongozi wa taifa hili!.
Naomba kuchukua fursa hii kuwaomba wana jf wenzagu, tunawajibika kuendelea kuijenga jf na kuilinda heshima ya jf kwa kuchangia kistaarabu kwa lugha za heshima na staha.
Najua kuna wenzetu humu, kwa jf ni favorite past time na huja humu wakati hawana kitu kingine cha kufanya!.
Nawaomba mtuhurumie sisi ambao jf ni nyumbani kwetu, ni sebuleni kwetu na chumbani kwetu, tunashinda jf, tunalala jf, tunaamka jf, in short tunaiishi jf, kwetu jf is life we are living for!.
Wasalaam.
Pasco
Safarini Dodoma.
Ukweli ni kitu gani ...."Bonafide genuine" maana yake ni nini?
Kauli hii, imetolewa leo na Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji John Tendwa, katika maongezi yangu ya ana kwa ana,(please note ni maongezi na sio mazungumzo!) yalifanyika leo jioni katika hoteli ya moja mjini Dodoma.