ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,690
WTF is just an abbreviation for' What the f*$k'. Just like USA is for 'United States of America'.
Sasa bonafide genuine ndo kitu gani hicho? Kwanza hamna neno "bonafide". Kuna maneno 'bona fide'.
Ni communications skills za wapi hizo? Ukiniambia ni suala la 'style' hapo naweza kukukubalia.
Lakini communications skills na logic? Nah bruh!
It's just like saying ‘They spoke in turn, one after the other.' It's tautological.
Mtu yeyote atakayefurahia chadema kufutwa atakuwa haipendi nchi yetu. Lakini hii haimaanishi kuwa chadema ipewe licence ya kuvunja sheria zenye adhabu ya kufutwa. Kinachojadiliwa hapa ni iwapo chadema itakutwa na hatia ya kupanga na kutekeleza utekaji.
Halafu hii tabia ya wafuasi wa chadema kuonyesha kuwa Mungu kachagua chadema inaonyesha mapungufu makubwa sana kwenye fikra. Hii yote ni kutaka sympathy based on faith, jambo ambalo modern politics linalikataa kwa sababu ndio linalozaa wanasiasa desperate wanaotumia misingi ya imani kuomba kura. Mungu hana chama Tanzania, na hata angekuwa nacho kisingekuwa chadema. Chama cha Mungu hakiwezi kukaa miaka 21 kwenye upinzani.
Angeanza kwanza kukifuta chama kinacho ua tembo wetu ili kudunduliza pesa za kampeni 2015!
Chama kuwa upinzani kwa miaka mingi,bila kuchukua madaraka hakumaanishi kuwa chama hiko hakina support ya majority ya wananchi wa nchi hiyo,bali factor kubwa ni je mfumo wa uendeshaji wa nchi hiyo,unawezesha chama kilichopo madarakani,kikatangazwa kimeshindwa uchaguzi,endapo kitakataliwa na watu wengi kwenye ballot boxes?!Mtu yeyote atakayefurahia chadema kufutwa atakuwa haipendi nchi yetu. Lakini hii haimaanishi kuwa chadema ipewe licence ya kuvunja sheria zenye adhabu ya kufutwa. Kinachojadiliwa hapa ni iwapo chadema itakutwa na hatia ya kupanga na kutekeleza utekaji.
Halafu hii tabia ya wafuasi wa chadema kuonyesha kuwa Mungu kachagua chadema inaonyesha mapungufu makubwa sana kwenye fikra. Hii yote ni kutaka sympathy based on faith, jambo ambalo modern politics linalikataa kwa sababu ndio linalozaa wanasiasa desperate wanaotumia misingi ya imani kuomba kura. Mungu hana chama Tanzania, na hata angekuwa nacho kisingekuwa chadema. Chama cha Mungu hakiwezi kukaa miaka 21 kwenye upinzani.
Chama kuwa upinzani kwa miaka mingi,bila kuchukua madaraka hakumaanishi kuwa chama hiko hakina support ya majority ya wananchi wa nchi hiyo,bali factor kubwa ni je mfumo wa uendeshaji wa nchi hiyo,unawezesha chama kilichopo madarakani,kikatangazwa kimeshindwa uchaguzi,endapo kitakataliwa na watu wengi kwenye ballot boxes?!
Hiyo ndiyo factor kubwa kwenye nchi zetu nyingi,hasa za barani Afrika,kwa chama cha upinzani kukaa kwenye upinzani bila kutwaa madaraka ya nchi.
Nitatoa mfano wa nchi 2,kuthibitisha madai yangu. Afrika kusini kwa miaka mingi sana ANC,kimekuwa opposition party,siyo kwa kuwa kile chama cha makaburu kilikuwa na majority support,lakini katiba ilipobadilika,iliwezesha kwanza mzee Mandela kutoka jela kwa miaka 27,bila kosa na pia ANC,kutwaa madaraka!!
Mfano wa pili ni Zimbabwe,ni jsmbo linlofahamika kuwa Mugabe na chama chake cha ZANU PF,wanaendelea kudumu madarakani,siyo kwa kuwa,wana majority support,bali kwa kuwa wanabebwa na vyombo vya dola. Mfumo wa nchi hiyo kama ungekuwa fair kwa vyovyote vile,hivi sasa Rais wa nchi hiyo,angekuwa Tsangirai na siyo,Mugabe!!
Vivyo hivyo kwa TZ,kama hapa napo tungekuwa na katiba ya nchi,ambayo inafanya political parties,wana equal opportunities wanapopractise,political affairs,basi si ajabu kwa hivi sasa CCM,ingebaki tu kwenye vitabu vya historia,kama ambavyo hivi sasa vilivyo KANU ya Kenya na UNIP ya Zambia,kuwa CCM nayo,tungeweza kuihadithia kuwa,iliwahi kuwa chama tawala,hapa TZ!!
Hizo ni ndoto za abunuwasi. Chezea nguvu ya umma wewe....
Mtu yeyote atakayefurahia chadema kufutwa atakuwa haipendi nchi yetu. Lakini hii haimaanishi kuwa chadema ipewe licence ya kuvunja sheria zenye adhabu ya kufutwa. Kinachojadiliwa hapa ni iwapo chadema itakutwa na hatia ya kupanga na kutekeleza utekaji.
Halafu hii tabia ya wafuasi wa chadema kuonyesha kuwa Mungu kachagua chadema inaonyesha mapungufu makubwa sana kwenye fikra. Hii yote ni kutaka sympathy based on faith, jambo ambalo modern politics linalikataa kwa sababu ndio linalozaa wanasiasa desperate wanaotumia misingi ya imani kuomba kura. Mungu hana chama Tanzania, na hata angekuwa nacho kisingekuwa chadema. Chama cha Mungu hakiwezi kukaa miaka 21 kwenye upinzani.
CHADEMQ NI MWIBA MKALI MNO KWA CCM, WAMEJARIBU MBINU ZOOTE KUKIUA IMESHINDIKANA.SASA WANAFIKIRIA NJIA YA KUKIFUTA. HUYO. TENDWA ASIFIKIRI VYAMA VYA SIASA NI MALI YA CCM, WALA ASIFIKIRI KUWA NI RAHISI KIUIFUTA CHADEMA KWA CHUKI ZAO BINAFSI KUTOKANA NA UROHO WA KUTAWALA BADALA YA KUONGOZA NCHI.SIO RAHISI KUIFUTA CHADEMA KAMA WANAVYOFIKIRI.TENDWA TUNAJUA UNAITUMIKIA CCM INAYOKUWEKA MJINI WEWE NA FAMILIA YAKO.ILA KWA HILI LA KUFUTA CHADEMA SAHAU! KAMA WEWE NI MWANAUME KWELI JARIBU UONE KITAKACHO TOKEA Maana Utajuta kuzaliwa.fisadi mkubwa wewe unayetumika kama condoms. Usiye na uzalendo na nchi yako...ndio maana hata meno huna.fisadi papa wewe! NDUGU ZANGU WANANCHI HUYU TENDWA NA TUMCHUKIE, NA TUSIMPE USHIRIKIANO NA TUKIMUONA TUMZOMEEE....HAFAI KATIKA JQMIII NI JANGA NA MZIGO.
mkuu usishangae wala usihofu hizi ni zile stage zao za kutekeleza udhalimu wao juu ya demokrasia lakini kila njia wanayojaribu inagota wao lengo la ilikuwa ni kesi ya ugaidi na bado watakuja na ya kupanga njama kumpindua jk.tulianza na mungu na tutamaliza na mungu
Kwavile mkanda ni bonafide genuine na kwavile chadema wamekataa kujitenga na mambo binafsi ya Lwakatare, basi Tendwa asilaumiwe huko mbeleni...
Mkuu Ze Marco, inategemea ni Mungu gani!, kama aliweweza kuwaacha taifa lake kwa miaka 400 wakiteseka utumwani Misri, miaka 21 ni nini?. Au kama aliwaacha wakitanga tanga jangwani kwa miaka 40 kabla ya kufika nchi ya ahadi, miaka 21 ni nini?. Kwa maana hamjui siku wa saa atakaporudi, watu wanazaliwa hadi wanakufa wakiisubiria hiyo siku, then miaka 21 ni nini?. Kwa sababu yule mwanasiasa wetu number 1 humu jf, amekwisha itabiria CCM kutawala miaka 100, 52 imeishakatika, imebaki 48 tuu, hivyo msiwe na shaka, siku hiyo itafika tuu, kila lenye mwanzo, lina mwisho, kwa vile CCM inamwanzo, ni hakika ina mwisho, ila sio lazima mwisho uwe 2015! ila mwisho upo na unakuja!. Pasco.Halafu hii tabia ya wafuasi wa chadema kuonyesha kuwa Mungu kachagua chadema inaonyesha mapungufu makubwa sana kwenye fikra. Hii yote ni kutaka sympathy based on faith, jambo ambalo modern politics linalikataa kwa sababu ndio linalozaa wanasiasa desperate wanaotumia misingi ya imani kuomba kura. Mungu hana chama Tanzania, na hata angekuwa nacho kisingekuwa chadema. Chama cha Mungu hakiwezi kukaa miaka 21 kwenye upinzani.