saimon rusana
Member
- Mar 15, 2024
- 28
- 98
faida za kudhalilishana ? chaputa kidumAah wapi mke ana faida nyingi kuliko hasara mimi sipo upande wa KATAA NDOA
Tuna oa kwasbb tuna hofu kuzini na kuasi Mungu ila ndoa sio lelemama inahitaji maturity ya hali ya juu.kama Uzi unavyo jieleza! leo ndio nimejua nyumba zinaficha mengi . leo nime shuhudia ndoa iliokua inatazamwa kama mfano hapa mtaani kwetu inaishia ukingoni,
baada ya sokombingo kali kati ya mume na mke. huku mwanamke huyo akijitoa maneno makali mbele ya watoto wa kuwazaa amesikika akihadithia wanawake wenzake kwa sauti ya juu,,, etc ni mwanaume gani asieridhika na k, moja au anataka nibinuke kichwa chini k, juu ndiyo aridhike?
vijana ambao mna tarajia kuingia kwenye ndoa fikilieni x 2
ni vema kuishi peke yako
Ewaaa!! Ni mwendo wa kuachika na kuoa tenaMimi kesho kutwa naoa tena
Kwani mtu akikataa kuoa ndiyo harusiwi hata kua na mpenzi?Ndoa sio rahisi kwa navyoona watu lakin pia kuikataa sio salama pia.
Nawaza itakuaje usiku ujikunyate mwenyewe had uzeenii huna hata mtu wa karibu wa kuzeeka nae....
Pia malezi ya watoto kiholela bila ndoa sio poa
Anaishi na hawara ambayo haiheshimiki lakini sio wa kuheshimika kama mkeKwani mtu akikataa kuoa ndiyo harusiwi hata kua na mpenzi?
Mateso ya kujikunyata usiku pekee ako ni afadhali kuliko mateso ya ndoaAnaishi na hawara ambayo haiheshimiki lakini sio wa kuheshimika kama mke
NAKAZIA HAPAchaputa kidum
NA HAPANi vema kuishi peke yako
Kuoa ni upumbavu mkubwa sana katika maisha, mimi hata mashangazi nayakula na kuyatupa kuleKama Uzi unavyo jieleza! leo ndio nimejua nyumba zinaficha mengi . Leo nimeshuhudia ndoa iliyokuwa inatazamwa kama mfano hapa mtaani kwetu inaishia ukingoni.
Baada ya sokombingo kali kati ya mume na mke huku mwanamke huyo akijitoa maneno makali mbele ya watoto wa kuwazaa amesikika akihadithia wanawake wenzake kwa sauti ya juu, etc ni mwanaume gani asieridhika na K moja au anataka nibinuke kichwa chini K, juu ndiyo aridhike?
Vijana ambao mnatarajia kuingia kwenye ndoa fikirieni x 2
Ni vema kuishi peke yako
Waambie haoAah wapi mke ana faida nyingi kuliko hasara mimi sipo upande wa KATAA NDOA
Kabisa mzee unatakiwa uoe mtu sahihi.Mateso ya kujikunyata usiku pekee ako ni afadhali kuliko mateso ya ndoa
Wawili, wawilije????unajua jf ina members wangap,, kwaio sisi wote tukatae ndoa kisa hao maandazi wawili!!???