Chama cha kataa ndoa kidumu

Chama cha kataa ndoa kidumu

saimon rusana

Member
Joined
Mar 15, 2024
Posts
28
Reaction score
98
Kama Uzi unavyo jieleza! leo ndio nimejua nyumba zinaficha mengi . Leo nimeshuhudia ndoa iliyokuwa inatazamwa kama mfano hapa mtaani kwetu inaishia ukingoni.

Baada ya sokombingo kali kati ya mume na mke huku mwanamke huyo akijitoa maneno makali mbele ya watoto wa kuwazaa amesikika akihadithia wanawake wenzake kwa sauti ya juu, etc ni mwanaume gani asieridhika na K moja au anataka nibinuke kichwa chini K, juu ndiyo aridhike?

Vijana ambao mnatarajia kuingia kwenye ndoa fikirieni x 2

Ni vema kuishi peke yako
 
unajua jf ina members wangap,, kwaio sisi wote tukatae ndoa kisa hao maandazi wawili!!???
 
kama Uzi unavyo jieleza! leo ndio nimejua nyumba zinaficha mengi . leo nime shuhudia ndoa iliokua inatazamwa kama mfano hapa mtaani kwetu inaishia ukingoni,
baada ya sokombingo kali kati ya mume na mke. huku mwanamke huyo akijitoa maneno makali mbele ya watoto wa kuwazaa amesikika akihadithia wanawake wenzake kwa sauti ya juu,,, etc ni mwanaume gani asieridhika na k, moja au anataka nibinuke kichwa chini k, juu ndiyo aridhike?

vijana ambao mna tarajia kuingia kwenye ndoa fikilieni x 2

ni vema kuishi peke yako
Tuna oa kwasbb tuna hofu kuzini na kuasi Mungu ila ndoa sio lelemama inahitaji maturity ya hali ya juu.
 
Ndoa sio rahisi kwa navyoona watu lakin pia kuikataa sio salama pia.
Nawaza itakuaje usiku ujikunyate mwenyewe had uzeenii huna hata mtu wa karibu wa kuzeeka nae....
Pia malezi ya watoto kiholela bila ndoa sio poa
 
Kwani mtu akikataa kuoa ndiyo harusiwi hata kua na mpenzi?
 
Kama Uzi unavyo jieleza! leo ndio nimejua nyumba zinaficha mengi . Leo nimeshuhudia ndoa iliyokuwa inatazamwa kama mfano hapa mtaani kwetu inaishia ukingoni.

Baada ya sokombingo kali kati ya mume na mke huku mwanamke huyo akijitoa maneno makali mbele ya watoto wa kuwazaa amesikika akihadithia wanawake wenzake kwa sauti ya juu, etc ni mwanaume gani asieridhika na K moja au anataka nibinuke kichwa chini K, juu ndiyo aridhike?

Vijana ambao mnatarajia kuingia kwenye ndoa fikirieni x 2

Ni vema kuishi peke yako
Kuoa ni upumbavu mkubwa sana katika maisha, mimi hata mashangazi nayakula na kuyatupa kule
 
Nashangaa hii kasi ya vijana kutangaza ndoa, najiuliza huu ujasiri wanatoa wapo, nawaangalia tu maana ni very close friends then naishia kucheka tu.
 
Back
Top Bottom