Naomba kujuzwa mamlaka ya Lissu kutengua uongozi wa wanachama katika nyadhifa mbalimbali anapatia wapi kwa mujibu wa katiba ya chama ?
Na je, chama kimetoa nafasi ya yeye kufanya hivyo pasipo wanachama kusikilizwa wala kujulishwa juu ya utenguzi wao umesababishwa na nini ?