Kwa taarifa yako MAT ndio waliotoa hiyo proposal...Chama cha madaktari (MAT) hakihusiki na usajili wa madaktari. Usajili hufanywa kwa mujibu wa sheria chini ya Medical Council of Tanganyika (MCT).
You may want to edit your heading if you intend to talk about MCT.
Tatizo la MAT ni uongozi mbovu chini ya yule mjaluo