Chama cha Madaktari acheni wizi kwenye kutoa leseni za Madaktari wapya

Chama cha madaktari (MAT) hakihusiki na usajili wa madaktari. Usajili hufanywa kwa mujibu wa sheria chini ya Medical Council of Tanganyika (MCT).

You may want to edit your heading if you intend to talk about MCT.
Kwa taarifa yako MAT ndio waliotoa hiyo proposal...
Tatizo la MAT ni uongozi mbovu chini ya yule mjaluo
 
Pepa za pharmacy council watu wanajiandaa kama wanaenda kwenye pepa la Advance physics..

Hizi Professional bodies kuna muda ukiziangalia unaona zimekaa kipigaji lakini muda mwingine uona zina umuhimu..

Pepa inabidi ziandaliwe kitaalamu sana incase mtu akifeli ijulikane kweli huyu hakuiva..Sasa mtu ukifeli unarudia pepa,i don't think ni good approach
 
Wewe ni mmojawapo, tz ilianza lini why wakati ,tuna madactari wangapi wamepitia upuuzi huu,jibu swali mchango wake kwa ma intern ni upi Kama sio wizi,ulaniwe popote ulipo kwa kubariki wizi wa mchana kweupe
 
Tatizo sio mtihani Ila laki 150,000/
 
Kama nilichozungumza hamna sawa, but Kama kipo,kuwa mwanatahaluma ni hoja isiokuwa na mashiko,kwamba nikute mkandarasi kapewa tenda na serikali,na anaiba tena wazi nishindwe kumsema, kisa ujenzi sio fani yangu ?nitamsema hata KWA kibondei
 
Sijaelewa hapo yaani umalize kozi kabla hujaajiriwa unapewa paper tena dah,zamani walikuwepo walimu wa leseni hilo likaondolewa ,
 
Tatizo sio mtihani Ila laki 150,000/
Hata mtiani mkuu, kwani huyu dactari miaka mitano mpaka intern why mitiani,na Kama wampa KWA nini asipewe pale nafanyia intern,na je kafanya mitiani mingapi mpaka anafika hapo, wizi tu
 
Yani Mijamaa Ikishapata Kitengo, Basi Inawazaga Ujinfa Ujinga Tuuu Na Kukomoa Watuuuuu!!
 
Kama nimemwelewa vizuri huyu ndugu analalamika zaidi kuhusu malipo ya sh 150,000/ kwa ajili ya mtihani....kupiga paper sio ishu kwake ishu ni hiyo sh 150,000/ angalieni hoja yake vizuri.

#Maendeleo hayana chama!
 
Labda point yako iwe hiyo 150,000, kwa mitihan ambayo wanafanya hawa madogo ikitokea mtu anafeli ujue huyo ni kilaza kweli, ni paper za kawaida sana chief
 
Labda point yako iwe hiyo 150,000, kwa mitihan ambayo wanafanya hawa madogo ikitokea mtu anafeli ujue huyo ni kilaza kweli, ni paper za kawaida sana chief
[emoji23][emoji23][emoji23], mkuu ushaipiga hiyo paper juzi kati hapo ukaiona ni ya kawaida sana? walioufanya huo mtihani juzi ndo wanajua mapungufu yake na % kubwa kuna mapungufu mengi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23], mkuu ushaipiga hiyo paper juzi kati hapo ukaiona ni ya kawaida sana? walioufanya huo mtihani juzi ndo wanajua mapungufu yake na % kubwa kuna mapungufu mengi.
Jibu hoja hacha kurukaruka value yake kwa intern ni ipi? Ukiacha wizi wa laki moja na hamsin, usinitoe kwenye reli ,jibu hapa tuanze mjadala,kipi anaongezewa huyu intern, kwa mtiani husika?
Hakuna medical student ataogopa mtiani maana mpaka anamaliza kafanya mitiani ya kutosha,
 
[emoji23][emoji23][emoji23], mkuu ushaipiga hiyo paper juzi kati hapo ukaiona ni ya kawaida sana? walioufanya huo mtihani juzi ndo wanajua mapungufu yake na % kubwa kuna mapungufu mengi.
Pia elewa tz hii hakukua na kitu Kama hichi uliza wa madactari,na je tz ina madactari wangapi? Nafikili umeelewa kutokana na ulichokiandika, mnakuja na wizi alafu mnajificha KWA kivuli fulani,
KWANZA hapo ulipo japo ni mmoja wao ukipewa mtiani na hao intern hutachomoka, medicine is so wide my friend hacha kujimwambafai hapa
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu mm sio mmoja wao,alaf pia hujaelewa nilichomjibu mwana aliesema kuwa paper ni ya kawaida sana, tuliza moto soma vitu taratibu
 
Naomba kuuliza mkuu C.O nae anapomaliza anahitaji LLeset

[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu mm sio mmoja wao,alaf pia hujaelewa nilichomjibu mwana aliesema kuwa paper ni ya kawaida sana, tuliza moto soma vitu taratibu
Samahani mkuu maana wezi hupenda halalisha wizi wao,japo roho aliniambia we mmoja wao,wezi Hawa,na wajitokeze Kama sio kweli nami nitajitokeza hata kwa kufungwa au pigwa risasi hadhalani Kama nasema uhongo juu yao,wezi Hawa nasema,
Waseme huu mtiani wanasaidia vipi,au wamuongezea kitu gani kwake Kama sio wizi na ufisadi ,na nasema mkalaniwe,koo zenu zote KWA dhulma hii ,na imekua,sio maneno yangu Bali ni mungu wa Mbatizaji 4 7 Alie hai
 
ukiisoma ile comment niliocomment kwa kombaME ndo utanielewa, kwa kifupi mimi siungi mkono iyo post intern exam, intern wanakujaga maeneo ya kazi tunawafundisha kazi tunaishi nao kama ndugu au washkaji na nimewaskia wakilalamikia huu mtihani walioufanya juzi kuwa sio kabisa, hata mimi naona hakuna maana ya huo mtihani labda wangekua wanafanya prac au viva kwenye hospital wanazorotate.
SIPO KWENYE KAMATI YA ROHO MBAYA MIMI.
 
Huo mtihani unapima nini, ikiwa huyu mtu ameshamaliza internship na akafaulu. Kinachotakiwa ni wao kumsajili baada ya kuonyesha vyeti vyake vya chuo na kile cha kuthibitisha kwamba amefaulu internship. Kwa hiyo mnategemea huyo mtu atakuwa anakumbuka kila kitu alichosoma mwaka wa kwanza, wa pili, wa tatu, wa nne au mmeamua kuwakomoa. Huwezi ukabeba kila kitu kichwani, vingine unafanya reference, kuweni fair..
 
Sawa sawa Pharmacist..! Amepata vidonge vyako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…