Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Naomba kuuliza mkuu C.O nae anapomaliza anahitaji LLeset
Mmkuu mm sio mmoja wao,alaf pia hujaelewa nilichomjibu mwana aliesema kuwa paper ni ya kawaida sana, tuliza moto soma vitu taratibu
Bora mkuu ,umesema, ni uhuni tu,sitoweza singinzia mtu wezi Hawa,wanafikilia watanzania ni wajinga,wezi, mafisadi na ni wahujum uchumi Kama wengine tu,madactari wamalizapo hata mkopo wao sio chini ya m30, bado wanawaongezea uchungu ,wezi wakubwa hawaHalafu mnawapa maswali 150 kwa saa 3. Hivi mnahitaji kuwaajiri madaktari wapya au mnawawekea kauzibe ama pengine mnapunguza namba ili waajiriwe wachache?
Sawa mkuu Kama ipo sehem nimekukwaza nisamehe bure,majizi Sanaukiisoma ile comment niliocomment kwa kombaME ndo utanielewa, kwa kifupi mimi siungi mkono iyo post intern exam, intern wanakujaga maeneo ya kazi tunawafundisha kazi tunaishi nao kama ndugu au washkaji na nimewaskia wakilalamikia huu mtihani walioufanya juzi kuwa sio kabisa, hata mimi naona hakuna maana ya huo mtihani labda wangekua wanafanya prac au viva kwenye hospital wanazorotate.
SIPO KWENYE KAMATI YA ROHO MBAYA MIMI.
Sawa mkuu Kama ipo sehem nimekukwaza nisamehe bure,majizi Sana,lukiisoma ile comment niliocomment kwa kombaME ndo utanielewa, kwa kifupi mimi siungi mkono iyo post intern exam, intern wanakujaga maeneo ya kazi tunawafundisha kazi tunaishi nao kama ndugu au washkaji na nimewaskia wakilalamikia huu mtihani walioufanya juzi kuwa sio kabisa, hata mimi naona hakuna maana ya huo mtihani labda wangekua wanafanya prac au viva kwenye hospital wanazorotate.
SIPO KWENYE KAMATI YA ROHO MBAYA MIMI.
Ni wizi tu mkuu Kama ni kwa nia njema wafanye ila malipo,watu wasome KWA tabu alafu mtu kala kwake anaingia pesa,wahusika kimya,haya mavyama yanawasidia nini Kama sio wizi,sipingi vyama kwa hajili ya usimamizi wa nidham bali napinga kujitengenezea wizi pitia vyama hivi ,na ukiwauliza taifa limemuingiza kiasi gani kwa michango hii au wachangiaji wamenufaika vipi jibu hamna ni wizi tuHapo KUNA PHARMACY...MANESI NAO WEMBE ULE ULE..!! sasa sijui utasemaje
wakati kada zingine wakilalamika wao walikaa kimya kama vile hawausiki ....Acha kulalamika wewe ,tatizo madaktari hua mnajikweza sana ,mbona wenzenu kozi zote wanafanya mitihani toka muda kwa level zote hujawahi sikia wakilalamika ,nyie mmeanza mwakahuu tu tayari mmeanza kutoa povu,kama mnahitaji muondolewe hio mitihani yaleseni basi nawenzenu waondolewe ,I mean , pharmacist, scientist, technician,nurses etc maana Sasa umekua niutaratibu waserikali kupima competency kwawote ,ila wakipimwa wenzenu sawa ,mkipimwa nyie povu na waraka mrefu
Wee umesikia wapi Ukifanya mitihani Mingi unakuwa huogopi mtihani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nasikia mmepigwa clinical case kama zotee...yani leseni kuipata hapoo ujue wee kidume kweli pole i mzee mwanzo mgumu yani ila jua Hamuwezi badilisha chochote kuhusiana na gharama labda format ya paper.Jibu hoja hacha kurukaruka value yake kwa intern ni ipi? Ukiacha wizi wa laki moja na hamsin, usinitoe kwenye reli ,jibu hapa tuanze mjadala,kipi anaongezewa huyu intern, kwa mtiani husika?
Hakuna medical student ataogopa mtiani maana mpaka anamaliza kafanya mitiani ya kutosha,
wakati kada zingine wakilalamika wao walikaa kimya kama vile hawausiki ....
tena wakubwa wao walikandia kweli kweli Kada zingine wafanye mitihani...
Kiufupi "pambaneni na hali zenu"
Wape pole hao vijana Mimi inaniusu nini,ila wizi na hujuma ndo ninachozungumzia hapaWee umesikia wapi Ukifanya mitihani Mingi unakuwa huogopi mtihani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nasikia mmepigwa clinical case kama zotee...yani leseni kuipata hapoo ujue wee kidume kweli pole i mzee mwanzo mgumu yani ila jua Hamuwezi badilisha chochote kuhusiana na gharama labda format ya paper.
Kama lengo nikuondoa wanaopita njia batili au hizo zapanya kwanini msitoe huo mtihani bure watu wafanye au pesa hiyo 150 lk ndio kipimo kikubwa cha kuhitimu nakuondoa hisia zakupita hizo njia zapanya?huu niwizi kama wizi mungineAcha kulia lia wewe
Pharmacy
Maabara nurses
Wote wanafanya mitihani baada ya intern
Nyie kwa nn msifanye??
Sasa sio ombi ukitaka leseni ya udaktar piga paper Kama hutani hama nchi
Huo ndiyo utaratibu hata wizara inajua
Usituletee ukanjanja wenu hapa ni mwendo wa mitihani hadi ufaulu ndiyo upewe lesen yako
Tumegundua wengi weni wanapita njia za panya
Hapa kwetu mtagonga mwamba
Vijana someni narudia tena someniii
Tukutane kwenye mtihani
Sawa mkuu....KWA bahati nzuri hatuko huko ila wizi huu lazima ukome
Wape pole hao vijana Mimi inaniusu nini,ila wizi na hujuma ndo ninachozungumzia hapa
Sasa wewe hata mtihani hujafanyaa mbona kuwashwa sanaa????KWA bahati nzuri hatuko huko ila wizi huu lazima ukome
Wape pole hao vijana Mimi inaniusu nini,ila wizi na hujuma ndo ninachozungumzia hapa
Mkuu Danpol, alieleta uzi huu ana hoja ya msingi wala sipingi hoja yake, lakini makosa ya kiuandishi yamekuwa mengi sana kuyapuuza na ki ukweli yanafanya tuhoji uwezo wake! kukujibu hoja yako ni kweli uwezo wa mtu kufikiri pamoja na vipimo vingine hupimwa pia kwa uwezo wake wa kuandika na kuwasilisha hoja hasa pale unapokuwa huna nafasi ya kumsikiliza mtoa hoja kama ilivyo hapa JF!Kuna mtu hapa kwakwe akili au uwezo wa mtu anaupima kwa lugha/maandishi
2020 nimeona mengi
Waache kulialia kuna watu walimaliza advanced diploma za accounts toka 1996 hadi leo hawafanikiwa kuwa certified public accountants,kila akipiga paper hola ,wapige paper hakuna janja janjaPigeni tu pepa hakuna kulialia Engineer yeye mbona anakomaa 4years Chuo plus 3years intern. total 7years ndiyo unapata leseni ukizingua presentations utapata leseni uzeeni. Hatari sana bodi professional za hapa bongo.
Sio lazima amalizae udactari ,lazima akafanye speciality, kila mtu huenda kwenye fani KWA malengo yake mahalum, ki ufupi huu ni wizi Kama wizi mwingineNchini Algeria baada ya intership , wanafanya mtihani, wanaofaulu wanaingia Specialisation "Residents" , wanaofeli wanaruhusiwa kupata ajira pia wanaweza kurudia mtihani mwakani, nadhani hapa MCT wangefanya hivyo ili kuuongezea thamani huo mtihani
Sasa kazi ya TCU ni nini na kwa nini isajiri vyuo visivyo na ubora na idahili wanafunzii.Huu ni utaratibu mzuri sana. Vyuo vimekuwa vingi na ubora unatia mashaka. Ni mtihani muhimu ili kujua kama kweli unafahamu vitu basic.