Chama cha Mapinduzi champongeza Rais Samia kwa kuimarisha Demokrasia

Chama cha Mapinduzi champongeza Rais Samia kwa kuimarisha Demokrasia

taratibu huku mtaani watu wanazidi kumuelewa Mama, mpaka wanajiuliza kwanini hatukuigundua hii TUNU mapema.
 
taratibu huku mtaani watu wanazidi kumuelewa Mama, mpaka wanajiuliza kwanini hatukuigundua hii TUNU mapema.
Mama ni habari mpya kabisa duniani,

#KAZIIENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
 
CCM YAMPONGEZA, ni watu 9 wanakaa wanasema wamempongeza. Ccm ina wanachama zaidi ya 10 milioni wasikilizeni wanasema nini kuhusu maza.
Ndio maana representatives mkuu,

#KAZIIENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
 
Hakika Rais wetu anastahili pongezi sana,

Mambo anayoyafanya yalishindikana miaka na miaka,

Leo amejitahidi katika sekta mambo yanakwenda,

Hongera CCM || Hongera Rais Samia
Ulivyoteuliwa haya ndio maneno yako
 
Back
Top Bottom