Chama cha Mapinduzi champongeza Rais Samia kwa kuimarisha Demokrasia

Mama anapika Nyau anamsubiri. Nyumba ina kuta za rangi ya kijani.
FB_IMG_1634105569424.jpg
 
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimempongeza na kumshukuru amiri Jeshi mkuu na Rais wa JMT Mama Samia Suluhu Hassan kwa Uzalendo wake kwa Taifa, Ushupavu na Ujasiri katika kulinda na kusimamia "Tunu za Taifa" letu kwa nguvu zake zote kwa akili zake zote na kwa moyo wake wote huku msingi mkuu wa yote haya ukiwa ni kuwaletea wananchi hawa masikini maendeleo endelevu.

Chama cha Mapinduzi pia kimempongeza na kumsifu Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwajali na kuwathamani watumishi wa umma nchini ikiwa ni baada ya zaidi ya watumishi 180,000 kupandishwa vyeo (kuongezwa mishahara) na Wale wote wanaodaiwa mikopo ya bodi (HESLB) ambao kila mwezi walikatwa 15% ya Mshahara wao Mhe Samia Suluhu Hassan kawaondolea hiyo Value Retention Fee (VRF) ambayo ilikuwa ni 6% nakuwafanya wakatwe 9% tu kwa mwezi hivi leo.

Chama cha mapinduzi kimempongeza pia Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kwa kupunguza kodi ya Mishahara kwa watumishi wote wa Umma na binafsi yaani (PAYE) kutoka 9% ya awali hadi 8% hii yote ni nia ya Serikali ya CCM katika kuwaletea wananchi wake maendeleo endelevu.

Chama kimempongeza zaidi Rais Samia Suluhu Hassan katika kusimamia Utawala wa Sheria na Utawala bora, Haki za kibinadamu, Ukuzaji mkubwa wa demokrasia ya vyama vingi nchini, kujenga inchi isiyoyegemea itikadi ya dini|kabila|kanda yeyote na kuufurusha kila aina ya Ufisadi na Rushwa nchi.

Haya yamesemwa na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Mhe Shana Hamdu Shaka alipokuwa akiongea na Wanahabari Ofisi ndogo ya Lumumba Jijini Dar es Salaam.

Kwahiyo Shaka ameita Press kwa ajili ya kumwagia sifa mama tu? Au kuna jambo lingine muhimu ameongea?
 
Hakuna ukakasi wowote,

Ref, Uchaguzi Konde mkuu

#KAZIIENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
Kwel kabisa upo sahihi man.

Ref: mikutano ya vyama vya siasi ilivyo hiv sasa (Chama tawala V/S Wapinzani) wanatreatiwa sawa?
 
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimempongeza na kumshukuru amiri Jeshi mkuu na Rais wa JMT Mama Samia Suluhu Hassan kwa Uzalendo wake kwa Taifa, Ushupavu na Ujasiri katika kulinda na kusimamia "Tunu za Taifa" letu kwa nguvu zake zote kwa akili zake zote na kwa moyo wake wote huku msingi mkuu wa yote haya ukiwa ni kuwaletea wananchi hawa masikini maendeleo endelevu.

Chama cha Mapinduzi pia kimempongeza na kumsifu Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwajali na kuwathamani watumishi wa umma nchini ikiwa ni baada ya zaidi ya watumishi 180,000 kupandishwa vyeo (kuongezwa mishahara) na Wale wote wanaodaiwa mikopo ya bodi (HESLB) ambao kila mwezi walikatwa 15% ya Mshahara wao Mhe Samia Suluhu Hassan kawaondolea hiyo Value Retention Fee (VRF) ambayo ilikuwa ni 6% nakuwafanya wakatwe 9% tu kwa mwezi hivi leo.

Chama cha mapinduzi kimempongeza pia Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kwa kupunguza kodi ya Mishahara kwa watumishi wote wa Umma na binafsi yaani (PAYE) kutoka 9% ya awali hadi 8% hii yote ni nia ya Serikali ya CCM katika kuwaletea wananchi wake maendeleo endelevu.

Chama kimempongeza zaidi Rais Samia Suluhu Hassan katika kusimamia Utawala wa Sheria na Utawala bora, Haki za kibinadamu, Ukuzaji mkubwa wa demokrasia ya vyama vingi nchini, kujenga inchi isiyoyegemea itikadi ya dini|kabila|kanda yeyote na kuufurusha kila aina ya Ufisadi na Rushwa nchi.

Haya yamesemwa na Katibu wa Nec Itikadi na Uenezi CCM Taifa Mhe Shaka Hamdu Shaka alipokuwa akiongea na Wanahabari Ofisi ndogo ya Lumumba Jijini Dar es Salaam.

Safi sana uongozi CCM Taifa,

Tunaimani kubwa sana na ninyi,

Umekuwa wazalendo wa kweli wakati wote,

Kazi iendelee
 
Safi sana uongozi CCM Taifa,

Tunaimani kubwa sana na ninyi,

Umekuwa wazalendo wa kweli wakati wote,

Kazi iendelee
😍😍😍

#KAZIIENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI ||

Endelea kumpigania mkuu Wangu
 
Kwel kabisa upo sahihi man.

Ref: mikutano ya vyama vya siasi ilivyo hiv sasa (Chama tawala V/S Wapinzani) wanatreatiwa sawa?
Don't live the past the past mkuu Wangu,

Utachelewa sana kufika,

😍😍😍

#KAZIIENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI ||
Kwel kabisa upo sahihi man.

Ref: mikutano ya vyama vya siasi ilivyo hiv sasa (Chama tawala V/S Wapinzani) wanatreatiwa sawa?
 
Kwahiyo Shaka ameita Press kwa ajili ya kumwagia sifa mama tu? Au kuna jambo lingine muhimu ameongea?
Unaona haya sio ya Muhimu?

Ulijua watu 180,000 wameongeza hadi laki 5 za nyongeza?

Acha maneno mengi tuchapeni kazi

😍😍😍

#KAZIIENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI ||
 
Don't live the past the past mkuu Wangu,

Utachelewa sana kufika,

😍😍😍

#KAZIIENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI ||
Hakuna past hapo. Kwan wakati NCCR na chadema wanazuiliwa/kuvurugiwa mikutano yao ya ndan na polisi huku chama tawala kinafanya mikutano bila pingamizi huwa unafumba macho? Kwenye swala la demokrasia kuanzia awamu ya 5 had hapa tulipo sasa watawala wamefeli kabisaa.
 
Back
Top Bottom