Chama cha Mapinduzi champongeza Rais Samia kwa kuimarisha Demokrasia

taratibu huku mtaani watu wanazidi kumuelewa Mama, mpaka wanajiuliza kwanini hatukuigundua hii TUNU mapema.
 
Mama anastahili pongeza sana wakati wote,
Mungu ampe ujasiri zaidi
Kabisa mama anafanya mambo ambayo kwa macho ya kawaida ni ngumu kuamini,


#KAZIIENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
 
taratibu huku mtaani watu wanazidi kumuelewa Mama, mpaka wanajiuliza kwanini hatukuigundua hii TUNU mapema.
Mama ni habari mpya kabisa duniani,


#KAZIIENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
 
Wamegundua Rais anateua sana wana habaru basi kalamu zao wino unaishia kusifia hasi uongo.

akina Haniniu et al
Nini mwanahabari mkuu,

#KAZIIENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
 
CCM YAMPONGEZA, ni watu 9 wanakaa wanasema wamempongeza. Ccm ina wanachama zaidi ya 10 milioni wasikilizeni wanasema nini kuhusu maza.
Ndio maana representatives mkuu,


#KAZIIENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
 
Hakika Rais wetu anastahili pongezi sana,

Mambo anayoyafanya yalishindikana miaka na miaka,

Leo amejitahidi katika sekta mambo yanakwenda,

Hongera CCM || Hongera Rais Samia
Ulivyoteuliwa haya ndio maneno yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…