Chama cha Mapinduzi kukutana na waandishi wa habari leo 11 Agosti, 2021

Chama cha Mapinduzi kukutana na waandishi wa habari leo 11 Agosti, 2021

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Jumatano Agosti 11, 2021 kitafanya Mkutano Muhimu na Waandishi wa Habari

CCM Waandishi.jpg

Source: Shaka H. Shaka
Katibu wa Halmashauri Kuu Ya Taifa ( Itikadi na Uenezi)
 
Nimefurahi sana jibu limetoka haraka sana kuliko lile la tozo kwenye simu ambalo linaendelea kupigwa dana dana. Mimi sina chama hivi sasa! Kidumu chama cha mapinduzi!
 
Waongelee maswala ya gwajima na polepole hili la mbowe lipo mahakamani emu wakae kimya mahàkama iamue
 
Saa ngapi ili mitambo niweke live kama kumbukumbu
 
CCM ni taasisi kubwa mno.....

Kumbuka ni TAASISI YA IMANI NA ITIKADI.......


NITAIPENDA CCM DAIMA DUMU

#SiempreCCM
#KaziIendelee
 
CCM ni taasisi kubwa mno.....


Kumbuka ni TAASISI YA IMANI NA ITIKADI.......



NITAIPENDA CCM DAIMA DUMU

#SiempreCCM
#KaziIendelee
 
Back
Top Bottom