Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
tatizo la kimaumbile.Sijajua kwanini Shaka anapanic!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tatizo la kimaumbile.Sijajua kwanini Shaka anapanic!!
unamsihi kada mwenzako wa CCM asishangae Shaka alivyopanic 🤣 🤣 🤣Twende taratibu tu mkuu....
Mh.Rais SSH mwenyekiti wa CCM amelishughulikia hilo....MEDIA ZIMEANZA KUWA HURU kuliko huko nyuma......Nchi imetulia? yeah kwa kubambikiana kesi, kufungia media na utekaji
Komredi Shaka H.Shaka ni KATIBU MWENEZI wa CCM meku.....kumtii kwetu ni lazima.....unamsihi kada mwenzako wa CCM asishangae Shaka alivyopanic 🤣 🤣 🤣
Comrade mwenzako ameshasema kuwa Shaka amepanic.Komredi Shaka H.Shaka ni KATIBU MWENEZI wa CCM meku.....kumtii kwetu ni lazima.....
Acha kauli za kibaguzi wewe huyo Ni Mtanzania Kama ulivyo wewe!!!!Hana ishu mzanzibari huyu. Akaongee kwao huko.
Tujuze mkuu......Ndio!
Kuna watu wanatumbuliwa na mmoja anastaafu!Tujuze mkuu......
Popoma huyo....Acha kauli za kibaguzi wewe huyo Ni Mtanzania Kama ulivyo wewe!!!!
Ngoja tutege sikioKuna watu wanatumbuliwa na mmoja anastaafu!
Sawa kabisa Comrade, Tii shuruti bila sheria.Komredi Shaka H.Shaka ni KATIBU MWENEZI wa CCM meku.....kumtii kwetu ni lazima.....