Chama cha Mapinduzi kukutana na waandishi wa habari leo 11 Agosti, 2021

Chama cha Mapinduzi kukutana na waandishi wa habari leo 11 Agosti, 2021

Bila ya shaka una utindio wa ubongo kuhama chama inahusiana nini na kukemea wizi, ugoigoi na maovu mengine ya kutisha ikiwemo wizi, ufisadi na mauaji! 😳

Nyerere hakuwahi kuhama chama....

Bila yetu vijana jeuri ndani ya chama labda kisingekuwepo.....

CCM ni bahari.....

ENDELEA KUUFUKUZA UPEPO
 
Bila ya shaka una utindio wa ubongo kuhama chama inahusiana nini na kukemea wizi, ugoigoi na maovu mengine ya kutisha ikiwemo wizi, ufisadi na mauaji! 😳
Wewe wasema....

CCM inakemea hayo kila uchao na ndio maana nchi IMETULIA HII....nchi ya amani na UTULIVU kushinda nyingi zinazotuzunguka.....
 
5D2699BD-DA1F-4AC4-BE6F-0592BED82A8C.jpeg

Wewe wasema....

CCM inakemea hayo kila uchao na ndio maana nchi IMETULIA HII....nchi ya amani na UTULIVU kushinda nyingi zinazotuzunguka.....
 
Umaskini unaweza kuanzia ndani ya familia....na kupepewa na wanafemili......

Hayo ni maneno ya komredi Bashe....si maneno ya kila mbunge na kila mwananchi msomi.....
 
NIMEFURAHI SANA JIBU LIMETOKA HARAKA SANA KULIKO LILE LA TOZO KWENYE SIMU AMBALO LINAENDELEA KUPIGWA DANA DANA. MIMI SINA CHAMA HIVI SASA! KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!
Hili limegusa madaraka na maslahi binafsi ya watu kuelekea 2025 plus ulaji wao lazima jibu litoke haraka hata kama kwa mkurupuko style. Ila lile na TOZO ni la wananchi wa kawaida wasio hata na madaraka manono popote kwa ivo halina uharaka mtatii tu.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Wewe wasema....

CCM inakemea hayo kila uchao na ndio maana nchi IMETULIA HII....nchi ya amani na UTULIVU kushinda nyingi zinazotuzunguka.....
Nchi imetulia? yeah kwa kubambikiana kesi, kufungia media na utekaji
 
Back
Top Bottom