Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Hata nyumbani kwako utakuwa na watoto 5 mmoja anaweza kuwa mwizi au mdokozi......Polepole: CCM kuna majizi makubwa, kila nikitaka kuwataja wakubwa wananizuia! | Hao wakubwa ni nani zaidi ya M/kiti? Ukiwa CCM hukamatiki?
Katibu wa Itikadi Na Uenezi wa CCM Ndugu Humphrey Polepole anasema mbele ya Kamera na vinasa sauti, Kuwa ndani ya Chama cha Mapinduzi kuna majizi Na anawajua ila Kila akiomba ruhusa awataje wakubwa ndani ya Chama wanamzuia. Najiuliza maswali 1.Hao wakubwa wanaomzuia Polepole asiwataje ni...www.jamiiforums.com
CCM ni bahari.....haikosi watu wa aina hiyo na ndio maana tulikuja na KUJIVUA GAMBA.....umejisahaulisha ?!!