Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Nyerere hakuwahi kuhama chama....Siku ukitia akili utaelewa kwa sasa endelea kuonyesha ujuha wako hadharani.
View attachment 1888325
Meku ndio uusubiri mkutano....CCM ina agenda gani au habari gani inayotaka kutujuza kupitia mkutano huo?
Utaja...a kwa mdomo wewe....ila wengine wakikutana kuongea siasa ni uhalifu, bora umbwa kuliko hawa wakoloni weusi
Waàmbie tumeshasoma UHURU na tumeelewa inatoshhaChama Cha Mapinduzi ( CCM) leo Jumatano Agosti 11, 2021 kitafanya Mkutano Muhimu na Waandishi wa Habari
Source: Shaka H. Shaka
Katibu wa Halmashauri Kuu Ya Taifa ( Itikadi na Uenezi)
Unawasemea watanzania wote?!!Waàmbie tumeshasoma UHURU na tumeelewa inatoshha
Nyerere hakuwahi kuhama chama....
Bila yetu vijana jeuri ndani ya chama labda kisingekuwepo.....
CCM ni bahari.....
ENDELEA KUUFUKUZA UPEPO
Wewe wasema....Bila ya shaka una utindio wa ubongo kuhama chama inahusiana nini na kukemea wizi, ugoigoi na maovu mengine ya kutisha ikiwemo wizi, ufisadi na mauaji! 😳
Wewe wasema....
CCM inakemea hayo kila uchao na ndio maana nchi IMETULIA HII....nchi ya amani na UTULIVU kushinda nyingi zinazotuzunguka.....
We mzee wa G55 umefufuka?!!Saa tisa ndo hii, au saa 9 usiku??
Hili limegusa madaraka na maslahi binafsi ya watu kuelekea 2025 plus ulaji wao lazima jibu litoke haraka hata kama kwa mkurupuko style. Ila lile na TOZO ni la wananchi wa kawaida wasio hata na madaraka manono popote kwa ivo halina uharaka mtatii tu.NIMEFURAHI SANA JIBU LIMETOKA HARAKA SANA KULIKO LILE LA TOZO KWENYE SIMU AMBALO LINAENDELEA KUPIGWA DANA DANA. MIMI SINA CHAMA HIVI SASA! KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!
Mama anadhaniWaongelee maswala ya gwajima na polepole hili la mbowe lipo mahakamani emu wakae kimya mahàkama iamue
Kwani umejua agenda ya mkutano?Sijajua kwanini Shaka anapanic!!
Kuzungumzia alichokitamka mwenyekiti wao na BBC kuwa ni sawa!Chama Cha Mapinduzi ( CCM) leo Jumatano Agosti 11, 2021 kitafanya Mkutano Muhimu na Waandishi wa Habari
Source: Shaka H. Shaka
Katibu wa Halmashauri Kuu Ya Taifa ( Itikadi na Uenezi)
Nchi imetulia? yeah kwa kubambikiana kesi, kufungia media na utekajiWewe wasema....
CCM inakemea hayo kila uchao na ndio maana nchi IMETULIA HII....nchi ya amani na UTULIVU kushinda nyingi zinazotuzunguka.....
Ndio!Kwani umejua agenda ya mkutano?