Kimalingano
JF-Expert Member
- Mar 27, 2023
- 1,366
- 1,770
CCM tusije tukanasa kwenye mtego ambao Chadema wanauandaa.Wao wanataka wapiga kura wasijitokeze kupiga kura siku ya uchaguzi.
Lakini wanataka kuhamasisha maandamano nchi nzima kama kampeni ya kuzuia uchaguzi hiyo siku ya uchaguzi.
Ikitokea vyombo vya ulinzi na usalama vimesambazwa kuzuia maandamano,maana yake vitakuwa vimesaidia lengo la Chadema kutimia kwani wananchi wataogopa kutoka kwenda kupiga kura.
Mimi sizungumzii uhalali wa uchaguzi.Hiyo ni mada tofauti.Kwa yaliyotokea uchaguzi mkuu uliopita na WA serikali za mitaa unadhani Kuna uchaguzi wa haki utakao fanyika au 'uchafuzi' ule wa Magufuli?
Kabla hata ya huo uchafuzi wa Magufuli, hakujawahi kuwepo uchaguzi wa haki Tanzania na ndio maana wengi tu tumekuwa hatujisumbui kwenda kushiriki uchaguzi ambao matokeo yanajulikana kabisa.Kwa yaliyotokea uchaguzi mkuu uliopita na WA serikali za mitaa unadhani Kuna uchaguzi wa haki utakao fanyika au 'uchafuzi' ule wa Magufuli?
vibaka na matapeli wa kisiasa kama Lisu anaetembea na tiketi ya ndege mfukoni na heche anaefanya kazi mpaka awe amepuliza moshi,CCM tusije tukanasa kwenye mtego ambao Chadema wanauandaa.Wao wanataka wapiga kura wasijitokeze kupiga kura siku ya uchaguzi.
Lakini wanataka kuhamasisha maandamano nchi nzima kama kampeni ya kuzuia uchaguzi hiyo siku ya uchaguzi.
Ikitokea vyombo vya ulinzi na usalama vimesambazwa kuzuia maandamano,maana yake vitakuwa vimesaidia lengo la Chadema kutimia kwani wananchi wataogopa kutoka kwenda kupiga kura.
2025 - 2035????? 📌CCM tusije tukanasa kwenye mtego ambao Chadema wanauandaa.Wao wanataka wapiga kura wasijitokeze kupiga kura siku ya uchaguzi.
Lakini wanataka kuhamasisha maandamano nchi nzima kama kampeni ya kuzuia uchaguzi hiyo siku ya uchaguzi.
Ikitokea vyombo vya ulinzi na usalama vimesambazwa kuzuia maandamano,maana yake vitakuwa vimesaidia lengo la Chadema kutimia kwani wananchi wataogopa kutokaq213Q kwenda kupiga kura.
umeambiwa serikali hii itaongezewa muda miaka mitatu ifanye matengenezoHivi kunauwezekano kweli wakipata tume huru kwa muda uliobaki? Yangefanyika marekebisho machache hasa kwenye wakurugenzi na nyadhifa za juu za tume. Lakini kuunda upya tume ni uongo.
na CCM walivyo BOLD wanajisifu kabisa kupiga bao la mkono!Kabla hata ya huo uchafuzi wa Magufuli, hakujawahi kuwepo uchaguzi wa haki Tanzania na ndio maana wengi tu tumekuwa hatujisumbui kwenda kushiriki uchaguzi ambao matokeo yanajulikana kabisa.
Tumewachekea mno.na CCM walivyo BOLD wanajisifu kabisa kupiga bao la mkono!
Hao hata usiku wanaweza kufunguliwa vyumba wakapiga kuraSisiemu wataenda mmoja mmoja kwenda kupiga kura na si kwa makundi.
hawapigi kura wanaleta mabegi ya kura feki!Hao hata usiku wanaweza kufunguliwa vyumba wakapiga kura
Umesema ukweli kikawaida hauwezi kushindana na SISIEMU wakitaka jambo lao ,wanaweza hata wasionekane kwenye vituo vya kura lakini msimamizi wa uchaguzi kutoka NEC akatoa matokeo ya washiriki wa kutosha hadi kuvunja record ya 2015.Hao hata usiku wanaweza kufunguliwa vyumba wakapiga kura
Ndio maaa TAL anasema tushiriki uchaguziUmesema ukweli kikawaida hauwezi kushindana na SISIEMU wakitaka jambo lao ,wanaweza hata wasionekane kwenye vituo vya kura lakini msimamizi wa uchaguzi kutoka NEC akatoa matokeo ya washiriki wa kutosha hadi kuvunja record ya 2015.
Wananchi siku zote ni waelewa ila kufanya implementation ya waliyoelewa ndiyo inakuwa ngumu ,rejea maandamano yaliyopangwa baada ya uchaguzi 2020 TAL.Lema wakakimbia nchi ,pia maandamano ya mauaji ya Ali Kibao yaliyofeli ambapo TAL hata hajashiriki na wanacnchi pia hawakushiriki ,je kuna muujiza gani hao wananchi kujitokeza this time ambapo CDM kuna mtifuano?na wananchi maelfu kwa maelefu wanamuelewa
Faida ya kutoshiriki ni nini? CDM wasiposhiriki ndiyo uchaguzi hautotangazwa au hautofanyika?Ndio maaa TAL anasema tushiriki uchaguzi
Lengo la mwanasiasa ni kuongoza wananchi kupitia uchaguzi kuleta maendeleo ya ngazi husika ,na wana haki kikatiba kugombea na kutoa maoni yao.Ajabu akina Mrema wao wanawaza maisha yao ya RUZUKU ndiyo yamefika mwisho
vibaka na matapeli wa kisiasa kama Lisu anaetembea na tiketi ya ndege mfukoni na heche anaefanya kazi mpaka awe amepuliza moshi,
hawaezi kutega chochote popote,
Uchaguzi mkuu utafanyika kwa salama na amani bila mbambamba yoyote gentleman 🐒
Wanasema wapo million 12 wataenda wenyewe inatosha.CCM si inajinadi kuwa na wapigakura million moja? [emoji44]
Kumbe mnahitaji nani tena aje kupiga kura? Wapiga kura mnao pigeni wenyewe!.