ajabu ni kuwa huwa wanaenda 12milioni na bado wanabeba na mabegi ya kura !Wanasema wapo million 12 wataenda wenyewe inatosha.
ajabu ni kuwa huwa wanaenda 12milioni na bado wanabeba na mabegi ya kura !Wanasema wapo million 12 wataenda wenyewe inatosha.
na CCM walivyo BOLD wanajisifu kabisa kupiga bao la mkono!
Ni kutoweka vyombo vya dola kuzuia maandamano.Bali kujikita kuhamashisha wapiga kura wajitokeze kupiga kura.Huo mtego unafikiri wataunasua vp?
NI ngumu wao kutoweka vyombo vya dola kwa nia ya kuzuia maandamano hasa kipindi cha uchaguzi.Ni kutoweka vyombo vya dola kuzuia maandamano.Bali kujikita kuhamashisha wapiga kura wajitokeze kupiga kura.
Hawa watu hawataamini, hii agenda Chadema wameigundua tu, watu wanaojielewa huwa hawashiriki uchaguzi kwa mfumo uliopo. Chadema wamegundua hiyo siri na ndio maana hata wao wenyewe wamegawanyika kwa sababu kati yao kuna washirika wa udharimu au vyama vyote ni washirika wa CCM.Wanasema wapo million 12 wataenda wenyewe inatosha.
Kwani tuna haraka gani ya kumpata Rais ambaye akiishakuwa hana mpango na wananchi tena? Hii ni nchi yetu sote sio ya CCM au chama chochote. Tutengeneze kwanza Katiba itakayoweka msingi thabiti wa udhibiti watawala, tuunde Tume huru itakayotuhakikishia kuwa na viongozi waliochaguliwa kihalali bila ujanja ujanja na zaidi sana tuhakikishe Tanganyika inarudi kwenye nafasi yake na ardhi hii irudishwe kwa wenyewe ambao ndio wananchi....sio kuwa chini ya udhamini wa Rais maana miaka 60 ya uhuru hakuna mtoto tena.Hivi kunauwezekano kweli wakipata tume huru kwa muda uliobaki? Yangefanyika marekebisho machache hasa kwenye wakurugenzi na nyadhifa za juu za tume. Lakini kuunda upya tume ni uongo.
Hii inaitwa ukisimama mshale, ukikaa mshale! Simama chini, kaa juu!CCM tusije tukanasa kwenye mtego ambao Chadema wanauandaa.Wao wanataka wapiga kura wasijitokeze kupiga kura siku ya uchaguzi.
Lakini wanataka kuhamasisha maandamano nchi nzima kama kampeni ya kuzuia uchaguzi hiyo siku ya uchaguzi.
Ikitokea vyombo vya ulinzi na usalama vimesambazwa kuzuia maandamano,maana yake vitakuwa vimesaidia lengo la Chadema kutimia kwani wananchi wataogopa kutoka kwenda kupiga kura.
Na huo uchaguzi wa kusimamiwa na mitutu ya bunduki huo sio uchaguziCCM tusije tukanasa kwenye mtego ambao Chadema wanauandaa.Wao wanataka wapiga kura wasijitokeze kupiga kura siku ya uchaguzi.
Lakini wanataka kuhamasisha maandamano nchi nzima kama kampeni ya kuzuia uchaguzi hiyo siku ya uchaguzi.
Ikitokea vyombo vya ulinzi na usalama vimesambazwa kuzuia maandamano,maana yake vitakuwa vimesaidia lengo la Chadema kutimia kwani wananchi wataogopa kutoka kwenda kupiga kura.
Wakati mwingine jaribu kishughulisha akili Yako japo kidogo. Mleta mada ameuliza swali fikirishi, wewe unawataja Lissu na Heche!vibaka na matapeli wa kisiasa kama Lisu anaetembea na tiketi ya ndege mfukoni na heche anaefanya kazi mpaka awe amepuliza moshi,
hawaezi kutega chochote popote,
Uchaguzi mkuu utafanyika kwa salama na amani bila mbambamba yoyote gentleman 🐒