Chama cha NRM champitisha Museveni kama mgombea wake wa Urais kwenye Uchaguzi wa mwaka 2026

Chama cha NRM champitisha Museveni kama mgombea wake wa Urais kwenye Uchaguzi wa mwaka 2026

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Chama cha NRM nchini Uganda kimemteua Rais Yoweri Museveni kugombea tena urais katika uchaguzi mkuu wa Januari mwakani, hatua itakayompa nafasi ya muhula wa saba. Museveni mwenye umri wa miaka 80 alichukua madaraka mwaka 1986 na tangu hapo ameshinda chaguzi zote baada ya kuondoa ukomo wa mihula na kikomo cha umri wa kugombea.

Akinadi mafanikio ya NRM, Museveni alisema chama chake kimefanikisha kuimarisha uchumi na kudumisha usalama, huku akisisitiza anachaguliwa kila baada ya miaka mitano. Wakosoaji wanamtuhumu kuendesha utawala wa kiimla bila upinzani wa kweli, ingawa bado anaungwa mkono vijijini kwa kudumisha amani.

Mpinzani wake mkubwa ataendelea kuwa mwanamuziki aliyeingia siasa, Bobi Wine, ambaye pia ametangaza kugombea katika uchaguzi huo.

============================================

Uganda's ruling National Resistance Movement has endorsed President Yoweri Museveni as its candidate for next year’s general election – and his seventh term as leader of the East African nation.

Eighty-year-old Museveni accepted the nomination on Wednesday in a speech to the party’s delegate conference in Kampala, and thanked the party for putting its trust in him once again.

Museveni first took power in 1986 as head of a rebel force. He has since been elected six times, after securing constitutional amendments to remove presidential term limits and an age cap.


Should he win in January, it would bring him close to five decades in power in the East African nation. Waving a NRM pamphlet, Museveni used the occasion to tout his party's achievements:

“What is in this booklet is what the NRM has achieved, when we came in, we knew exactly what to do and that’s why the economy of Uganda has recovered. And as I speak today, we have gone through five phases.”

Critics have warned that Museveni has veered into authoritarianism with virtually no opposition, including within the NRM.

Museveni says criticism of his long stay in power is unjustified because he is reelected every five years. Notably, he has a large following in rural areas, where Ugandans cite relative peace and security among reasons to keep him in power.

Source: Africa News, Nilepost News
 
Back
Top Bottom