Uchaguzi 2020 Chama cha TLP chaitisha Mkutano Mkuu 9/5/2020 ili kumpitisha Dkt. Magufuli kuwa Mgombea Urais

Uchaguzi 2020 Chama cha TLP chaitisha Mkutano Mkuu 9/5/2020 ili kumpitisha Dkt. Magufuli kuwa Mgombea Urais

Ni kati ya vyama Pendwa vya CCM, usishangae Bushirii, Polepole na msajili ya vyama vya siasa wakawa among presenters.
 
Mrema mrema mrema!

Covid-19 inatupenda sana sisi wanyonge lakini nyie goigoi inabeba kama mwewe achukuavyo kifaranga!! We endelea kuunga mkono juhudi.

Tusilaumiwe kwamba hatukukuonya.
mwambieni Mwenyekiti, COVID inapenda kuanza na wenye maradhi Sugu, Mzee kaa nyumbani achana na hii mikutano kwa sasa utaumia.. huu ni ushauri wa bure kwako.
 
Hapa sio kunawa mikono tuu bali tuoge kabisa na maji tulivu

Sent using Jamii Forums mobile app

Huyu Mmasai yuko kwenye suicide mission - kuoga maji watu wamenawa corona?

1588921548122.png
 
mwambieni Mwenyekiti, COVID inapenda kuanza na wenye maradhi Sugu, Mzee kaa nyumbani achana na hii mikutano kwa sasa utaumia.. huu ni ushauri wa bure kwako.
Amwangalie huyo anaeenda kumuunga mkono, ana karibu mwezi wa tatu mafichoni kule karibu na Burigi
 
TLP hawana ruzuku kwa miongo kadhaa sasa, hawapati hata senti. Lakini wana ofisi pale Magomeni tena ya 'kaghorofa' kamoja kinachonishangaza kuna chama kinalipwa 300m per month kama ruzuku, lkn wamepanga ofisi chafu chafu kinondoni. Chama kina wabunge zaidi ya 30, lakini hata ofisi ya maana hakuna! Viongozi wake ni mabilionea inavyosemekana, lakini...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tutakwenda na Lyatonga Popote (TLP)
 
Back
Top Bottom