Chama cha Upinzani ambacho hakinaga mmiliki ni NCCR Mageuzi, kinafahamika Nchi mzima Tundu Lissu arejee kukiimarisha

NCCR ilikuwa imejaa watu wa system ambao walitumwa na CCM kukuanzisha kuzuga watu
Ndio maana kila anayeiingia anachomoka na kiapo cha kufunga mdomo
 
Nccr Mageuzi ilishageuzwa punda wa ccm siku nyingi.
 
Wajumbe 1200 wanawekwa kwenye kiroba au gunia na kujumlishwa? We Mwakitwange wewe
 
Ukitaka kujua pori halina mwenyewe kweli we lima au kata walau mti mmoja afu usikikizie.
 
Ukitaka kujua pori halina mwenyewe kweli we lima au kata walau mti mmoja afu usikikizie.
Nilipotoka Chadema 1995 nilijiunga na Nccr Mageuzi ya Lyatonga na Nyaucho πŸ˜„
 
Kumbe wakati mwingine una akili sana.Ukweli mchungu Lissu akipata zaidi ya 20% akatoe sadaka Misikitini na Makanisani.

Lissu si Kiongozi ni mwanaharakati uchwara
Lissu hana ushawishi ndani ya CDM.
Lissu ni mropokaji mahiri
Lissu anajua atashindwa asubuhi lakini hana plan B.
Huko NCCR unakomshawishi hawataki sarakasi zake.
Akienda ACT watamyumia kwa muda mfupi sana halafu watamtimua hawawezi kufuga jini.Si hivyo tu kile chama ni Wapembe,Swala tano na ukanda wa Pwani.Lissu anatokea Singida kwa wala Punda utamaduni tofauti Pwani.
 
Inawezekana kabisa kula hela na kuamua vinginevyo sababu ukipewa rushwa hunyang'anywi kichwa
 
Niko hapa Rombo wajumbe Wote wameingiziwa Nusu muamala na 21 January ni ukamilisho πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

what shit are u talking. Tz inamhitaji asiye compromise na watesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…